Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naelewa kuna wataalam wa masuala ya kujiongizia kipato kupitia tuition, kwahiyo ni vyema pia tukiungana na kujadili kama sio kubadlisha experience juu ya hii kazi. Naomba kuwaslisha, ahsante.
2 Reactions
4 Replies
550 Views
This Book teaches us that self-discipline is the key to success and gives us practical advice to master it and achieve self-actualization, happy relationships, and financial security. Let us...
1 Reactions
1 Replies
349 Views
Naamini wote ni wazima na kwa wagojwa Mungu awape wepesi katika hilo. Bila kupoteza muda Naombeni msaada wa hiyo course tajwa kwa vipengele vifuatavyo 1. Wigo wake wa ajira ukoje 2. Wigo wa...
0 Reactions
10 Replies
565 Views
Habari, Naomba mwenye syllabus ya class two English medium anisaidie kwa kuipakia hapa, najaribu kuipakua mtandaoni inagoma.
0 Reactions
2 Replies
504 Views
Refer to the heading above, do such a word exists or we need to concoct it ? By the way can you make a mistake while handwriting is that an unintentional mistake between you, your writing tool...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
A hen and a half lays an egg and a half in a day and a half. How many eggs does one hen lay in one day?
0 Reactions
3 Replies
278 Views
Kwema wajameni? Hivi Kwa mwanafuz WA f6 CBG course Gani nzuri za ku-apply chuo Kama anasifa mfano Ana division two
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Siasa! Zinaharibu sana mfumo mzima wa elimu yetu ya Tanzania na Adhabu inawarudia wapiga kura wake, nakumbuka Kuna mzazi alikuwa akilalama mtoto kasoma Miaka mnne kidato cha kwanza hadi cha nne...
0 Reactions
2 Replies
334 Views
Bila shaka Jumapili ya mitende imeenda vyedi... Kwa wale waliosoma chuo tajwa hapo juu kuanzia mwaka 2012 kuna lecturer mmoja anaitwa Innocent Mgeta alikuwa kitivo cha sheria, naskia kwa sasa ni...
2 Reactions
6 Replies
690 Views
Nashauri darasa la saba lifutwe, badala yake libaki darasa la sita tuu na ndilo lifanye mtihani wa taifa Baada ya hapo watakaofaulu wasiende form one kwanza bali wasome lugha tuu(English) mwaka...
2 Reactions
12 Replies
473 Views
Mm ni mehitimu kidato cha nne mwaka jana nilikuwa na target zangu nikipata chet niombe kazi katk shirika la umma nashukutu Mungu nimepata chet lakn shule niliofanyia mtihani had saiv bado...
0 Reactions
2 Replies
426 Views
Mimi nilianza UDOM 1st year November 2021 lakini kutokana na Matatizo ya nje ya uwezo wangu nikasitisha masomo sasa napenda kujua hii registration yangu as UDOM student inakua valid kwa miaka...
2 Reactions
6 Replies
934 Views
Watoto wa shule za serikali za vipaji maalum kama Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Tabora boys, Kismiri, Kilakala, Msalato. Hizi shule kwa namna fulani zinashindana hasa hasa hamasa zinatoka kwenye...
0 Reactions
5 Replies
785 Views
Zamani kulikuwa na msemo unaosema kutereza sio kuanguka ,msemo huu ukiuleta kwa wasomi huwa unakuja na tumaini jipya, Maisha ya chuo yana changamoto kubwa sana mwanzo nilivyoanza nilijua ni...
1 Reactions
35 Replies
11K Views
Nimeshangaa katika pitapita zangu nimeona cheti cha mtu cha Advance katika masomo 3 ya combination ana DDF, halafu yupo chuo kikuu anasoma degree. Serikali ifute kigezo cha D mbili, ama katika...
3 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwa matokeo haya atapata muhimbili? Maana amemaliza o level 2016 amemaliza advance 2019 O level (two ya point 18) Math B Chem B Bios B PHYSICS C Advance(two ya point 12) PHysics D Chem D Bios D
4 Reactions
5 Replies
1K Views
African Mimi nilisimamishwa shule nikiwa form two kwa muda wa wiki mbili kule Iringa, shule ipo karibu na Lugalo ile ya Serikali jirani yake kuna shule ya private. Nilisimamishwa kwa kosa la...
6 Reactions
81 Replies
4K Views
Who can solve this?
3 Reactions
25 Replies
948 Views
Nimeandika vitabu vya financial education, women empowerment na girls rights maalum kwa ajili ya watoto. Pia nna vitabu vya Kiswahili kwa wageni kujifunza. Sina pesa ya designing na kuvichapisha...
2 Reactions
58 Replies
2K Views
Njooo pangani tanga nije pwani wilaya yoyote
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Back
Top Bottom