Utangulizi
Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu...
Nina mdogo wangu amehitim kidato cha nne amepata division four ya 27.
CIV - D
HIST - D
GEO - D
E/D/KIISLAMU - D
KISW - C
ENGL - D
CHEM - D
BIO - D
B/MATH - F
Kwa alama hizo anaweza kusoma kozi...
Tanzania kuna watoto wengi sana wanaingia shule kwa kasi kuliko uwezo wa serikali kuajiri walimu wa kutosha. Huu ni wakati mzuri wa kufikiria programu ya wahitimu wa elimu za juu ambao wengi nao...
Habarin Wana JF,
Mimi ni mwanafunzi wa bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ndoto zangu ni kuendelea na masters baada ya kuhitimu kuhusu GPA nina 4.1 first year naimani itarange humo...
wakuu leo nimekuja na Poll kura yako inaenda wapi kati ya special school za wavulana binafsi nazipenda special navutiwa na league yao
Pichani TS, KSS, Mzumbeni,Ilboru
Naomba tusaidiane wazazi kwa kuambiana Shule za English medium.
Kumekuwa na changamoto kwenye uchaguzi wa Shule kwa wazazi ambao watoto wetu wanaanza class one itatusaidia.
Naomba utaje Jina la...
Mfumo unaomwezesha mwalimu (mtaaluma) kupata matokeo kwa urahisi sana,
mfumo
unakutengenezea matokeo
unakuonyesha wanafunzi 10 bora na 10 wa mwisho
unakuonyesha division summary kwa male na female...
Habari za mchana Wana Jf.
Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya
Muda sasa...
Habari Wana Jf hope wote ni wazima, niende kwenye mada moja kwa moja.
Mob psychology ni Hali jumuishi ya kundi kubwa la watu kuwa na mawazo au mtazamo unao fanana. Kundi kubwa la watu Lina amini...
LEO TUPATE ELIMU KIDOGO JUU YA HAWA MABWANA
Na Comred Mwanakijiji Mwanakijiji Mkwawa
Miongon MWA kero kubwa Sana za WALIMU huko makazin NI juu ya hawa jamaa wanaojiita maafisa ELIMU kata...
Wakuu Asalaam Alaykum,
Naomba kufahamishwa Accredited centers za CISA kwa Tanzania na gharama zao. Ukiachana na hii ya online inayotolewa moja kwa moja na ISACA.
Au ushauri kwa mwenye uelewa...
Ni ngumu kuelewa/ kuamini ila kati ya watu waliojutia kusoma sana na kufaulu vizuri ni mimi.
Nilitumia nguvu nyingi kusoma O-level, na kweli nguvu zile hazikwenda bure, Nilichomoka na div 1.11...
Salaam! matumaini yangu ni kwamba jumapili ya leo ni nzuri na tuna chukua hatua kuepukana na Corona.
Leo nimekumbuka mbali enzi za primary ,O-level, na A-level back in the days. Kuna hawa...
Wadau najua humu kuna wanaojua mambo mbalimbali.
Natafuta mtu au chuo zitakazonifundisha kutengeneza photocopy mashine, printer, scanner na nk. Kama mpo tafadhari mnicheki.
Please.
SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA
Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao...
Napenda kufahamishwa yale mafunzo ya VETA yaliyotangazwa na serikali yatakuwa ya muda gani.
Mimi nina kadigrii kamoja lakini bado sijaona matunda yake hadi sasa, nimechoka kusikia ahadi hewa za...
Habari wakuu, hope wote ni wazima.
Pasi na kupoteza muda ni ende kwenye lengo la Uzi huu.
Awali yoyote mm ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu katika moja ya chuo kikuu apa Tanzania mwaka...
Samahani ndugu zangu!
Naomba kuuliza, Kuna dogo langu amepata division one ya 8, ila combination anazotamani kusoma yaan PCM,PCB na PGM, ufahulu wake ni (CAA) make Physics ana "C " afu hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.