Habarii! Msaada nimepata division 4 ya 26
Mwaka huu form 4...matokeo yako Nina C..tatu na D 3 na F..moj
Civic-C
History-C
Geogr-D
Mathe-f
English-D
Kisw-C
Bios-D
Hapo jamani serikali inawez...
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi, watanzania tuna shule nyingi na kwasababu mbali zikiwepo za siasa karibia kila mtanzania sasa anaweza kusoma na kupata elimu mpka kidato cha nne, kwa kuwa...
Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4, wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata...
Dah ngoja me nianze aisee...
Tukiwa class kwa mudy physics tulikuwa na utaratibu wa kuuliza maswali kwa kuandika kikaratasi halafu unampa wa mbele yako naye anampa wa mbele mpaka kinafika ubaoni...
Wakuu habarini za usiku huu!
Leo Baraza la mitian limetangaza matokeo ya kidato cha nne miongoni mwao alikuwepo binti yangu alihetimu mwaka jana..ivyo amepata matokeo yafatutayo:
26
IV
CIV - 'C'...
Kwa nini huwa hatuongelei issues zinazohusu elimu mpaka matokeo yatoke,je Ni kweli kila mtu anaweza kuwa mtaalamu kwenye Mambo yanahusu elimu?,ualimu Ni mgumu sana ,watu wa fani nyingine wawe na...
Mwanafunzi mwenye uelewa mzuri wa lugha ya kingereza hata asipoingia darasani mwaka mzima hawezi pata sifuri katika mtihani wa kidato cha nne.
Wewe mzazi ebu hakikisha Mwanao unamjenga katika...
WanaJF,
Haiwezekani wanafunzi wafaulu vizuri sana mtihani wa darasa la Saba halafu kidato Cha nne wafeli kiasi hicho.
Huko sekondari wanafunzi mmewafanya nini?
Hebu kama kuna walimu hapa jamvini...
Wakuu naomba tuhusike na kichwa cha habari hapo juu kwa kupeana taarifa na ushauri kama wadau wa Elimu ya juu. Asanteni kwa kusaidiana kama ilivyo mila na desturi Yetu wana Jukwaa hill...
Habari wakuu,
Samahani naomba msaada kuna dogo anataka kusoma kuhusu haya mambo. Course gani bora kati ya logistics and shipping na transport and chain management?
Naombeni mchango wenu.
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha...
Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina
PHYSICS-D
HISABATI-C
ENGLISH L-C
HISTORY-D
CHEMISTRY-C...
Habari za humu ndani?
Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni:
physics-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-C
B/MATH-F
ENG.-D
Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi.
Pamoja na necta...
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023??
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.