Baada ya matokeo ya darsa la saba kutangazwa tarehe 28/11/2022 ni vyema NECTA ikawapangia wanafunzi waliofaulu shule za kwenda mapema ili waweze kufanya maandalizi.
Kuwapangia shule za kwenda...
Habari ndugu wazazi,
Je wewe una mtoto wako aliyemaliza darasa la saba mwaka 2022 na amefaulu kwa wastani wa C,B na A
Na wewe ungependa asome shule za boarding/ hostel za serekali zilizopo mkoani...
Wadau, nataka kuomba kujiunga na Masters of HR pale chuo kikuu Huria, naomba kujua jinsi wanavyotoza gharama kwa hizo unit zao, na kiasi gani (minimum) ambacho mtu anatakiwa kulipa kwenye fees...
Akiwahutubia wanafunzi wa mwaka wa kwanza (mwaka wa masomo 2016/17), kwenye mahafali ya Main Campus na kule MUCE. Prof. Mukandala ametumia nafasi hiyo kuwaaga wanafunzi maana hayo ndo mahafali ya...
Nawasalimu,
Rafiki yangu ni mwalimu ambaye yupo kazini. Alienda kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree tajwa hapo juu.
Amehitimu mwaka jana hivyo anaomba kufahamu ni eneo gani anaweza kumwomba...
Naomba kuuliza na nahitaji msaada
Wakuu na wana jamii forum nauliza watoto wanaofutiwa mitihani nini hatima yao kwa kuwa wao hawana makosa mtoto amesoma kwa Zaidi ya miaka kumi wazazi wamelipa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba shule zote zilizofutiwa matokeo iwe fundisho kwa shule zingine, na najua tayari kuna dosari katka shule hizo naomba wachukuliwe hatua kuanzia uongozi...
Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea?
Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji!
Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa...
Shule ya Msingi Kishai iliyopo Sumbawanga mkoani Rukwa ina uhaba mkubwa wa madarasa ambapo wanafunzi 400 wanatumia darasa moja.
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo amesema idadi ya wanafunzi ni zaidi ya...
Za Asubuhi Wakuu,
Majina ya vijana wenu wa UDOM wanaotegemea kuwepo siku ya tar 2. Dec 2022 kwenye graduation ni hayo yaliyoambatanishwa kwenye Thread hii.
Kwa taarifa za Kina rejea Link ifuatayo:-
Masomo hayo hapo juu, nipo favourite kuyafundisha vzr kabisa hasa Ordinary levels schools. Naomba kujua ni shule zipi ninaweza kupata nafasi za kufundisha? Favourite kama za Private.
Mm ni...
Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake...
Mambo vipi humu jukwaani natumaini mko poa wote,
Nije kwenye swali, naomba kuuliza je? Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka huu 2022 yatakuwa yametoka ama bado?
Maana nimeingia ukurasa wa Necta...
Duh aisee ule mziki wa CPA sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 E.C.A na degree bado haifiki hata robo, hata wanaotoka cpa kwenda masters huwa ni kama...
Nowadays, the world is driven by data. High quality data is a must for development impact. We know that high-quality data is the foundation for meaningful policy-making, efficient resource...
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu 2022. Darasa la saba walifanya mtihani wao tarehe 5 na 6 mwezi octoba. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.