SAMIA SCHOLARSHIP
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanzisha program ya ufadhili iitwayo SAMIA SCHOLARSHIP kwa masomo ya shahada ya kwanza kwa wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika...
Ni first year semester ya mwisho, ana GPA ya 1.6 hivyo kadisco. Lakini anataka kuendelea na masomo na kuendelea kupata mkopo kama awali.
Je afanyeje? Miongozo inatakaje?
Wajuzi msaada, inawezekana kwa mwalimu tuseme kaajiriwa na masomo ya IT na mathematics akajiendeleza Masters in Computer Science au IT, anaweza kuomba kuhamishiwa idara ya IT akakubaliwa?
Msaada...
Habarini zenu wataalam Nisikuchosheni nakuja kwenu nikiwa na suala nililoliainisha hapo juu,
Mimi ni msimamizi WA mtihani WA kidato cha NNE SHULE X nimepata changamoto yangu ni kuwa , Katika...
Katika uzi huu tunataka kuzifahamu kozi ambazo hazitoi ajira kwenye taasisi binafsi na serikalini.
Hivyo kama una orodha yako uwanja ni wako sasa tutajie kozi hizo.
NOTE: Tunaomba mtuandikie...
Habari wakuu kwa wanafunzi wa continuous naona kumekua na tofauti kwnye pesa ya meal and accomodations kat ya chuo na chuo mfano wanafunzi wa udsm imepungua kutoka 524k mpaka 510k sasa hii imekaaje?
Wapwa naombeni msaada. . Dirisha la kukata rufaa limefunguliwa RASMI HELSB tar 13/11/2022 .Nimepata mkopo ila sijaridhishwa na kiasi cha mkopo nilipata . Je naweza kukata rufaa?
VIJANA WA TANZANIA KUANZISHA JUKWAA LAO HURU, NDIYO JIBU LA KUPATA NAFASI YA KUSHIRIKISHWA KTK NGAZI YA MAAMUZI KITAIFA
Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Cha Mipango Dodoma nina nia ya dhati ya kutaka kuanzisha na baadae kuwa na JUKWAA kubwa la TAFITI Tanzania hivyo naomba mnishauri mwenzenu nifanyaje au...
Naomba kama kuna mtu ana Idea anisaidie.
Mimi ni mdau wa elimu, uwa nikitazama hivi vituo vya kusomea mtaani yani tuition centres naviona kama fursa fulani ambayo hatuitumii vizuri.
Kama ambavyo...
Nimefurahi kuiona thread ya wadau wa Ilboru napenda na siye wa Umbwe tujikumbushe japo kidogo baadhi ya misamiati tuliyokuwa twaitumia pale 'Mti safi'..Baadhi ya misamiati ni kama...
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha Mipango Dodoma main campus nasoma mwaka wa tatu degree ni mnufaika wa Bodi ya Mikopo, tangu mwaka wa kwanza nimekumbana na changamoto ya kutowekewa allocation na sio...
Habari zenu wanachama? Nina imani yakuwa mpo salama
Iko wazi na wengi tumewahi kuona jinsi ambavyo buibui anajitengenezea wavu(makazi) yake bila shida kabisa.
Sasa nikifikilia zile nyuzi...
Poleni na majukumu wakuu
Mimi nina na changamoto inanitatiza sana, ninasomea maswala ya information science, natamani sana kujua kuhusu database administration, ila pa kuanzia sijui na sijui...
Hello habar wadau, naomba kujua ni shule zipi za olevel zenye boarding iwe ya Boys au mchanganyiko hususan Kwa mikoa ya Dodoma na morogoro.
Natanguliza shukran za dhati
Naombeni jamani ushauri kati ya hizo kozi Clinical dentistry (utabibu meno) na Clinical medicine (utabibu) nichague nisome nini kwa kuangalia upatikanaji ajira nchini sasa hv naomben ushauri wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.