Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kujua Hii shule zaidi ya miaka 15 kila mwaka kitaifa matokeo ya form 4 na form 6 lazima iwepo. Ila product zake sijawahi kutana nazo sio serikalini hata private sector. Huwa zinaenda wapi?
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia Ufadhili wa Samia: Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Subject communication skills. Question: Defining communication is not simple. How could you as a scholar define communication different from leyman? Msaada hili swali linahitaji nini na nini.
0 Reactions
11 Replies
542 Views
Hope Mungu ni Mwema kila wakati Na wale wagonjwa na walioko Gerezani Mungu awafanyie wepesi ili mpate kupona na kuishi katika Faraja Naomba Mtu mwenye kitabu Cha Oedipus of the king soft copy...
0 Reactions
3 Replies
687 Views
Sami scholarship yatangazwa tar 27, Leo sep 29 ,majina ya waliopata yatolewa! Kuna sehemu tunakosea! MAJINA HAYA HAPA Pia soma: Thread 'Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija' Samia...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu habari Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi yeyote continuous kapata mkopo mpaka sasa maana kwa mujibu wa tangazo la HSLB wanadai kuwa wametoa mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna...
0 Reactions
7 Replies
904 Views
Habari wadau. Majibu ya Rufaa (LOAN APPEAL) ya bodi ya mkopo ni lini wenye tetesi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nlichaguliwa chuo kikuu cha St. Francis morogoro course ya MD Lakin sijabahatika kupata mkopo wa Ada maana nilipewa boom peke yake Sasa kutokana na Ada...
1 Reactions
6 Replies
548 Views
Nimechaguliwa UDOM kozi ya BED-PYS naweza kuhamia Ardhi nikasome bachelor of science in Urban and regional planning kama ninasifa za chuo husika?
1 Reactions
23 Replies
3K Views
TUNAELEKEA MWISHO WA MWAKA 2022, EWE MZAZI/MWALIMU/MLEZI/MWANAFUNZI tunakukaribisha katika mtihani wetu wa kufungia mwaka siku ya Jumatano ya Tarehe 14.12.2022 saa 08:00PM (Usiku) katika somo la...
0 Reactions
8 Replies
526 Views
Habari wanajukwaa. Naomba kujua mtu anayesoma Electrical Engineering anaweza pia kuwa mtaalamu wa umeme wa kwenye Magari? Kama sivyo mtu anayehusika na marekebisho ya gari likipata changamoto ya...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Poll Poll
HABARI NDUGU ZANGU WANA JF ...NATAFTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI YEYE AJE MBULU MJI MIMI NIENDE ARUSHA AU KILIMANJARO LAKINI HATA BABATI TAKUA NMESOGEA SOGEA. ASANTEN. Phy & Chem...
1 Reactions
6 Replies
649 Views
Tembo ni mnyama wa mwituni katika kundi la wanyama walao majani! Mnyama huyu ana mengi ya kufahamu yenye kuburudisha kufundisha na kutoa miongozo ya jinsi gani mazingira tunayoishi yanaweza...
0 Reactions
11 Replies
14K Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa matokeo ya kidato cha nne tangu 2015 hadi 2021. Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa katika shule za binafsi sekondari zifuatazo zinafanya vizuri sana hazikosi ndani...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Naomba kujua procurement anasoma masomo yapi 😦😦
1 Reactions
2 Replies
983 Views
Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nimechaguliwa chuo cha st. Francis course ya MD Lakini sikubahatika kupata mkopo wa Ada maana nimepewa boom peke yake na kutokana na Ada ya chuo hiki...
0 Reactions
9 Replies
866 Views
Habari wanaJF. Kuna ndugu yangu ni muajiriwa wa serikali kama msaidizi wa kumbukumbu. Ana diploma ya "Records management", Anataka mwakani ajiendelee na chuo kikuu kusoma degree ya "Human...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Jambo hili tumebishana sana na watu hapa, Je ili kuwa mwanasheria kamili lazima uende law school? Je kwa kada kama madactari, nesi, famasi je kwenda internship ni lazima? Namaanisha je hawezi...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu nimemaliza certificate two in level three ktk course ya electrical engineering naomba msaada wa kupata scholarship ya diploma ya umeme mwenye kufahamu jinsi ya kupata naomba tufahamishane...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom