"our beloved Hon. President John Joseph Magufuli has passed away" after this statement all national flag started flying at a half-mast. Who has power to order the use of this national symbol?
A...
Habari wanajamii
Nimekuwa katika wakati mgumu baada kumaliza masomo yangu level ya bachelor degree tangu mwaka 2015 kwani sijawahi pata ajira yoyote ile
Kwa sasa nina miaka 32, nauona uzee huu...
1. Haya machaguo ni sahihi kiasi gani kwa upande wako?
2. Vipi uhakika wa kupata moja wapo, Au unahisi wapi ni rahisi zaidi kupata?
3. Kifutwe kipi au Kiongezwe kipi?
Msaada jaman maoni yako ni...
Habari Wana JF.
Naomba Kuuliza Kipi Hupewa Kipaumbele Katika Uchaguzi Wa Kozi.??
Ama Nini Mtu Aweze Kuangalia Katika Uchaguzi Wa Kozi.??
NB:Achana Na Ajira
Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA...
The main goal is to make students’ lives better across the globe. This goes far beyond simply helping with academic assignments. There are an incredible amount of talented young men and women out...
Samahani nilikuwa naomba kuuliza swali kwanini private candidate hufeli sana has combination za science utakuta kati ya wanafunzi kumi amefaulu mmoja.
Kama yupo aliye faulu vizuri Kwa comb ya pcb...
1. Tunaposema tumefanikiwa kuweza kuhakikisha asilimia kubwa ya vijana wetu kufika walao kidato cha nne, ni kwamba tumeongeza ufanisi kwenye ufundishaji na miundo mbinu ya Elimu au TUMEPUNGUZA...
Wakuu habari za muda huu, mimi ni muhitimu wa diploma mwaka huu nahitaji kuendelea na elimu ya juu.
Nilikuwa naomba kufahamishwa je nilazima ukiwa unaomba mkopo wa elimu ya juu uwe umedahiliwa...
Nimeanza hatua za awali za maombi ya mkopo na nimepata control number na kufanya malipo lakini hadi sasa sijaweza kuendelea na hatua zinazofuata, kila nikijaribu ku relod inagoma.
Guys kwenye application za chuo nimeona kuna baadhi ya vyuo vinatoa program ya radiology wengine radiograpy napenda kujua kama zina tofautiana nini hasa? Au ni moja tu
Habarin Wana jf natumai mko salamaa kabsaa.
Nilikuwa naombaa msaad he unawez kusoma chuo mfano udsm haraf kwa MDA wa ziada ukawa unasoma kozi nyingine mtandaoni au kupata ujuzi wa vitu vingine...
Mimi tayali ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Dodoma, nilichaguliwa katika Program ambayo sikua interested nayo na harakati za kubadili zilishindikana.
Hivi mwakani ninaweza kuomba tena chuo...
Elimu ya nadharia kusema kweli tunaumia maswali mengi yananijia nn kifanyike kubadili mtaala sidhani kama ni njia hata elimu ya sasa inatufaa pia maana elimu inaanza kwa nadharia . Lakini nadharia...
habarini wana JF
Nina ndugu yangu anasoma udom mwaka wa pili (kozi ya miaka minne) level ya degree hivi majuzi matokeo yametoka amedisco....hajui aende wapi wala afanye nini.
Kwenu wana jf kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.