Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Natumaini mu wazima wa Afya. Poleni Sana wenzangu walio dhaifu kiafya. Naomba Mnitoe tongotongo wadau wangu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikifuatilia Usajili wa Chuo cha Ufundi. Lengo langu lilikuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi Ni mwanafunzi nasomba PGD in Technical and Vocational education teacher ya Open University ! Je hi Ni PGD in education ipi ni bora zaidi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kijana hapa kamaliza kidato cha sita anataka asomee hii kozi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni Mtanzania nimesoma kwa kiasi kufuta ujinga tu ila nina tatizo kubwa katika uongeaji KIINGEREZA na shughuli zangu zinahitaji sana kuongea KIINGEREZA Nimejaribu kufuatilia Kwa jamaa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za muda huu wanajamvi poleni na ujenzi wa Taifa, Rejea kichwa cha habari tajwa mimi nilipata changamoto niliyowahi kuileta hapa wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Je, naweza...
4 Reactions
79 Replies
12K Views
Naandika kwa masikitiko sana, namna sipati msaada wowote hapo loan board tawi la mwanza. Tupo Katika dunia ya sayansi na teknolojia iliyoendelea, leo hii mnaaaga nyumban kwenda kazini kukaa...
2 Reactions
0 Replies
722 Views
Bodi ya mkopo ya elimu ya juu hutoa mikopo kwa wanafunzi wenye vigezo na sifa zinazo stahili kupokea ambapo fedha hizo hujumuisha Ada , field, book and stationary na research ambapo kama...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati nafanya application steps zote nimeletewa mpaka ku submit, lakini hatua ya malipo sijaletewa. Sijaelewa kama ndio ipo hivyo kwa wote au ni mimi tu. Maombi yameenda bila malipo.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Vipo vitabu vingi ambavyo unaweza kusoma lakini leo naomba niwape list ya vitabu kumi na mbili ambavyo kwa upande wangu nadhani ukivisoma na kufuata maelekezo utaweza kubadili...
9 Reactions
178 Replies
33K Views
Habari kwenu nyote, Bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, naanza kwa utambulisho mfupi ili niweze kusaidika kama ninavyotarajia maana JF kuna wataalam wa kila namna...
0 Reactions
2 Replies
776 Views
Kuna hizi shule zinazojiita 'international school' ambazo ada yake ya chekechea inaweza fika milioni 12 kwa mwaka n.k na wanatumia mitaala ya nchi za nje. Na sijawahi kuwasikia katika shule bora...
1 Reactions
7 Replies
879 Views
Msaada wa ushaur wa haraka unahitajika kwa wataalam na wenye uwelewe ,na uzoefu. Mdogo wangu kachaguliwa Udsm chemical ,na architecture ardhi,nataka kujua bora aconfirm IPI , Chemical engineering...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimesha Lipa ila naona kwenye application hakuna kinacho endelea
0 Reactions
3 Replies
454 Views
Elimu ya msingi ni darasa la kwanza mpaka darasa la nne basi kuanzia hapo ni mtoto akue tu!!maana wanaowafundisha wanahitaji kufundishwa je wanaofundishwa na wanaohitaji kufundishwa wataelewa? Mpe...
1 Reactions
1 Replies
481 Views
Wakuu apo ni ipi kozi mzuri zaidi kati ya hzo
0 Reactions
4 Replies
424 Views
Kwamatokeo yangu form 4 wakuu nilimaliza mwaka Jana nakupata division 2 point 20 yani BIOLOGY ,B, CHEMISTRY ,C, PHYSICS ,C, ENGLISH ,C, ILA MATH ,F, nime apply clinical medicine vikiwemo vyuo vya...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Hello wakuu, Leo ni tarehe ya mwisho kuapply diploma, mimi nataka kuapply diploma ya afya pale UDOM ila nimekitafuta chuo kwenye website ya kuapply ya NACTE sijakiona....Na website yao haina...
0 Reactions
5 Replies
501 Views
Je, kusomea MD kuna ajira au na penyewe suku hizi hamna ajira
1 Reactions
7 Replies
626 Views
Darasa Hili litaanza jumatatu ya trh 1/8/2022 Bonyeza link kujiunga moja Kwa moja https://chat.whatsapp.com/BCvr1nvyuPwBW9TEqISE99
0 Reactions
6 Replies
739 Views
Back
Top Bottom