Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari, naomba kujua orodha ya shule za sekondari wilaya ya ubungo ni zipi? 1. Zilizopo mbali (ndani ndani). 2. Zilizopo karibu na barabara kubwa. Asanteni
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Naitwa ×××××××××××× Napatikana Dar es Salaaam, nina degree ya ICT pamoja na biashara. Ninapenda ku-share elimu niliyo nayo kusaidia umma wa Watanzania. Karibu kama una tatizo lolote kwenye sekta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hadi leo chuo cha CBE hawajatuma taarifa za wanafunzi wa diploma NACTE .Utaratibu ni inatakiwa taarifa za mwanafunzi aliyehitimu zitumwe NACTE kwa haraka muda huu wa kuomba vyuo ili mwanafunzi...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Naomba kupewa maelezo kwa jambo hilo kama inawezekana na vipi inaweza kuwa na athari au na vipi pia kwenye hz course zote mbili kwa upande wa ajira.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hellow naomba kujua namna ya ku confirm chuoo diploma mdogo ang kapata chuo cha afya sasa NACTE wanaandika pale tusubiri verification sa sijajua kuna utaratibu gan next
1 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu katika harakati za kuomba course mbalimbali za kusoma chuo, mdogo wangu alichangua course zimefuatazo UDOM ( nimeziambatanisha kwenye picha) Lakini mbaka first selection zimetoka kwenye...
0 Reactions
3 Replies
587 Views
Shikamoni wakubwa zangu wote Nina binamu yangu kabahatika kachaguliwa kozi za bachelor of Education in electronic and electric engineering pale MUST pia KACHAGULIWA KOZI YA FORESTY Pale SUA...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Niko combination ya science nataka nikasomee Bachelor of fine art and design.. Ninakipaji cha kuchora.
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimshukuru Muumba kwanza Alafu ni wasalimu wote humu niwaalike mnisaidie kuhusu class representative wa chuo kama udsm, I mean qualifications zipi na ni njia ipi ambayo mtu anapaswa kutumia ili...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimeshangaa mtu anajaza taarifa zote ili kupata AVN lakini anambiwa itachukua masaa mengi hadi zaidi ya 130 ili kupata majibu, hata control number ya kulipia nayo inachukua masaa yote hayo. Kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi.. naombeni ushauri kuhusiana na hii course ya Anasthesia kwa nurse wa diploma anaetaka ku’ specialize bachelor ya Anasthesia. Kwa upande wa soko la ajira na mengineyo. Asanten...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Mimi ni miongoni wa wachaguliwa katika kozi tajwa apo naombeni #hits na mambo ya kuzingatia katika safari yangu hii katika chuo tajwa na upande wa mazingira ya chuo kama vile...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Kwema wakuu. Ebana ndugu yangu amechaguliwa kozi tajwa hapo juu chuo cha sokoine pale Morogoro, naona Kama hajaridhishwa hivi na hii kozi, lengo lake lilikua asome MD ila vyuo vyote vya medicine...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Interview zinakuja
0 Reactions
1 Replies
518 Views
Physics form 1
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Kama tittle inavyosema apo juu. Njoo DODOMA mpwapwa mi nije uko uliko taja wilaya tu nikiridhika nakuja. Offer hela ya kukusafirisha 700, 000/=
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar za muda wakuu Samahanini sana wanajamvi Selection za vyuo zmetoka Kama kunamtu kapata Acturial science (IFM) Na Kapata Chemical Engeneer (UDSM) kozi zote anazipenda Vp hapa kijana huyu...
0 Reactions
7 Replies
645 Views
Wakuu sehem gani Chemical Engeneer anaweza kufit peke yake yaan bila yy kuwepo kitu hicho hakifanyiki
0 Reactions
4 Replies
504 Views
Hello! Samahanini kwa mtu ambaye anajua namna ya kuvipata vitabu vya Kiswahili mtandaoni na kuvidownload PDF kama NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE NA VINGINE TAFADHALI[emoji120]
1 Reactions
3 Replies
632 Views
Nisaidien mawazo kwa anaejua ,jaman sijachaguliwa first selection naulizia je nikirudia kuomba course nyingne tofaut na nilizoweka mwanzo lakn vyuo vilevile second selection nalipia Tena hela au
0 Reactions
2 Replies
457 Views
Back
Top Bottom