Unakuta mtu ana D zake mbili. Anaenda chuo, labda cha kilimo au afya. Anapiga mwaka mmoja Anapewa certificate. Hapo anaweza kwenda kuajiriwa nk. Lakini akiongeza mmoja anakuwa na Diploma. Sasa hii...
Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi...
Habari za majukumu ndugu wanajamiiforums,
Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu kuhusu utofauti wa IB na IGCSEs na GCSEs zinazotolewa na Shule zinafundisha mitaala za kimataifa hapa nchini.
Na kipi...
UTANGULIZI
Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya uaminifu wake katika nchi ya Tanzania, pia namshukuru Mungu kwa ajili ya kuniwezesha kuandika chapisho hili ambalo naamini litakuwa...
Habari za muda huu,
Mimi ni mwanafunzi niliemaliza diploma 2017, sasa nilikua nataka kupata Award Verification Number ili niweze kuendelea na elimu ya juu. vitu gani napaswa kuwa navyo ili nipate...
Kwa mahitaji ya huduma ya Masomo ziada majumbani (Home tuitions) ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam wasiliana na walimu mahiri kupitia namba zifuatazo:
0716600198 au 0758120535.
Masomo ni kama...
Samahanini ndugu zangu naomba msaada kwenye kupata Avn Maana kila nikijaza registration ya Certificate na diploma naambiwa wrong registration shida ni Nini?
Habari zenu JamiiForum members.
Nilikuwa naomba ushauri kama inafaa kusoma diploma ya electrical engineering alafu degree kusomea mechanical engineering kisoko na kikazi hii imekaaje wadau?
Kumradhi nina swali nimeulizwa na mtoto wa shangazi nimeshindwa kulijibu nimeamua kulileta kwenu.
Ivi mtu akitaka kupostipone chuo anaruhusiwa kukaa nyumbani hata miaka minne au mitano halafu...
Ndugu msomaji mimi Leo nimeona nitoe pendekezo kwa Serikali kuangalia ni jinsi gani ikawasaidia vijana wanaohitimu Vyuo vikuu kutumia vyeti vyao kupata mikopo ya kuanzisha biashara mara baada ya...
Ni jumatatu nyingine, salaam kwenu.
JF nimoja Kati ya majukwaa ya kijamii ambalo nadiriki kusema limesheheni karibia watu wa kada/tasnia zote zilizomo humu duniani. Namaanisha Kuna watu wenye...
Ndugu samahani, najua mko bize na kutafuta mkate wa siku! Nilikua naomba ushauri wenu baada ya matokeo kutoka Mdogo wangu yeye amepata kama ifuatavyo katika tahasusi yake ya CBG.
GS.D .CHEM . E...
Mimi naona hii sector ya elimu wangefanyia mabadiliko maana kwasasa nahisi wanataka kufanya kua elimu ya juu Kila mmoja anatakiwa kusoma kuanzia sasa nikimanisha watoto wanafaulishwa na ukiwapima...
Nina mdogo wangu kamaliza form 6 amesoma EGM, anataka ajiunge na chuo kikuu lakin kozi Bado inamtatiza. Waliosoma hiii kozi naomben ushauri kidogo kwamba anaweza akasoma kozi gan ambayo inaweza...
Wakuu, naomba kufahamu chuo kimoja kinaitwa Mweka training centre kipo Kimara, Dar na kinatoa kozi za afya. Je, kimesajiriwa na nacte? Na kama kimesajiliwa kwanini wahitimu wake hawakukiona kwenye...
Habari zenu,
Nina binamu yangu kafaulu anataka kuomba mkopo bodi ya elimu ya juu lakini kuna mzazi wake mmoja ana ulemavu wa masikio(kiziwi) katika fomu ya mikopo anatakiwa kujaza taarifa za...
MFUMO WA ELIMU WA TANZANIA NA ONGEZEKO LA WASIOKUWA NA AJIRA
UTANGULIZI:
Elimu ni ule ujuzi ambao mtu anabaki nao baada ya kusahau yale aliyojifunza shuleni(Albert Einstein).
Lakini tukirejelea...
Habari!
Poleni na majukumu ya kila siku. Nina ndugu yangu amemaliza form 6 mwaka huu kama private candidate na amepata C ya historia, E ya kiswahili na E ya kiingereza.
Je, kwa matokeo haya...
Rejea kichwa cha habari hapo juu ...nimebahatika kuwa miongoni mwa walio pata vyuo awamu ya kwanza..naamini nimechaguliwa BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION kwasababu ndiyo niliyo apply...
Nilikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.