Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato Cha nne na kupata ufaulu ufuatao kwenye masomo ya sayansi, Physics-C, Chemistry-A, Biology-B, B/math-B. Sasa nilikuwa nataka nifanye maombi yangu kwenye...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Nilikua nauliza je naweza soma UMD na two ya kumi ya advance? Nilikua naomba mnisaidieni jamani na vyuo ivyo ni vipi zenye Bei nafuu
0 Reactions
14 Replies
994 Views
SIMU: ONGEZA UMAKINI Habari ndugu zangu, poleni na shughuli za ujenzi wa taifa. Tumshukuru MUNGU kutupa fursa ya kuiona leo, kutuepusha na ajali lakini pia kuturuhusu tupitie jambo fulani gumu...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Deaf-Blind (kiziwi-kipofu) Dunia ina watu wenye utofauti kihaiba; hii inamaanisha utofauti wa kimaumbile, kifikra na hata kimaono. Tumepata kuwaona watu wa aina mbalimbali wenye mahitaji maalum...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tanzania kwa sasa tumepiga hatua kidogo kwa kuongeza vyuo vikuu nchini. Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa hivi vyuo asilimia 99 vimeandaliwa mahsusi kwa kundi la wanafunzi wasio na ulemavu wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Natangulize Heshima Nauliza hii kozi tajwa hapo juu inahusika na nini hasa? Kama ni diploma holder yatakiwa uwe umesoma kozi gani? Habari gani upande wa ajira mtaani? Nashukuru......
0 Reactions
170 Replies
92K Views
Jaman mtambue kua kuvaa miwani ni tiba kama tiba nyingine,ni kama wale wanaovaa hearing aids kuwasaidia kusikia vzuri Lakini ni kama automatically kuvaa miwani mme connect na akili au IQ na hii...
1 Reactions
3 Replies
672 Views
Habari wana JF, Nina shida kidogo hapa naomba msaada. Mimi ni muuguzi ngazi ya Diploma sasa mwaka jana nilijiunga na chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kuchukua Bachelor of science in Nursing...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Ni kweli kuwa mshahara wa medical doctor mwenye degree katika hospitali za serikali zanzibar ni 800k?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu, Wana jamvi habar za asubuhi, Kama kichwa Cha habar kinavyosema wapi naweza kupata vitabu vya shule ya msingi vya darasa la nne Na darasa la Saba kwa maana ya madarasa ya mitihani ya Taifa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Jamani naomba msaada mbinu za kufundishia somo la Kiingereza shule za sekondari hasa za kata.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunajua kule kenya ukihitimu form 4 unaenda moja kwa moja chuo kikuu. Je, kwa mwanafunzi aliyesomea kenya form four na anataka aje asome hapa tz anaweza kwenda vyuo vikuu vya hapa? Kwa wazoefu...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Habarini na poleni kwa majukumu, Naomba kuulza ivi kuomba mkopo wa elimu ya just Ni lazima niende internet cafe? Cwezi omba kwenye cmu in case issues zitazonilazimu Kama kuprint ndo niende...
0 Reactions
5 Replies
736 Views
Wakuu,Kuna kijana anaomba ushauri wenu juu ya kozi gani akasome kati ya hizi zifuatazo kwa upande wa kuweza kujiajiri au hata kuajiriwa. Amemaliza kidato cha 6 mwaka jana ila hakufanikiwa kwenda...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Nina degree ya procurement and logistics management. Nataka kufanya mitihani ya bodi ambapo kwenye taarifa iliyopo kwenye website yao wanasema mitihani hufanyika may na november. Nilitaka kujua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Habari zenu Nina mdgo wangu anahitaji kusoma kosama kozi za afya Lakini matokoe yake Ya advance pamoja na ukweli na competition... ni ngumu kutoboa tofauti na miaka ile Sisi tunasoma...
0 Reactions
4 Replies
461 Views
Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Habari za Muda huu, Naomba kufahamu hatua za kufuata ku postpone masomo ili nisome mwakani... Ni hayo tu
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Nampeleka International school akapate vitu vikuu vitatu, Netwoking Exposure Confidence Hivi kule vinapatikana kwa wingi sana na kule hawafundishwi kutafuta wa kwanza na wa mwisho. Mtoto Mfano...
21 Reactions
52 Replies
9K Views
  • Closed
Habari, wakubwa naomba ushauri wa kozi ipi nikasome, hapa nimemalza Diploma ya Mechatronics engineering. Naombeni ushauri wa kozi nzuri ya kusoma level ya degree
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom