Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wana jf, Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB? Pia naomba kujua kama bodi ya...
0 Reactions
106 Replies
18K Views
Wizara ya afya yakanusha Mabadiliko ya ratiba ya ufanyaji Mitihani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari za mida hii wadau, Niende moja kwa moja kwenye mada kwa wale wanaojiandaa kufanya pregatii tr 31 July tupeane uzoefu kidogo na kwa wale waliokwisha kuifanya usisite kushea experience yako...
0 Reactions
3 Replies
537 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam kueleza mikakati ya wizara yake ambayo ikiwemo utekelezaji wa bajeti...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF's, kuna hiki chuo kinachoitwa Cathloic University College of Mbeya(Cucom) basi kwa hivi kinavyofanyiwa matangazo, kijana wangu amevutiwa mno na chuo hicho. Binafsi katika tafiti...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Je mtu aliyepata division two ya PCB anaweza kusoma course gani ya afya pale Muhimbili au UDSM na je anaweza kupata mkopo aslimia ngapi?
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Nilikuwa mwanafunzi takrinani miaka 20 nyuma na wadogo zangu wapo shule kulingana na system ya elimu ya Sasa inawaandaa wanafunzi wengi...
0 Reactions
2 Replies
460 Views
Ninahitaji kujiendeleza na elimu ya juu. Naomba kujulishwa tofauti kati ya full-time na short-time studies zinakua vipi. Na ipi bora zaidi?
0 Reactions
4 Replies
780 Views
MAONI: Tanzania ni Nchi pekee ambayo kila Waziri wa Elimu ana Elimu yake, yaani anakuja na MFUMO wake wa Elimu. SWALI: Huu mfumo utakoma lini au Wakubwa walishagundua hii ina manufaa kwao?
0 Reactions
1 Replies
305 Views
Habari zenu jamani. Naomba mnisaidie kujua KIPIMO cha maumivu kinaitwaje kitaalamu? Maana inasemekana kuna tofauti ya maumivu mtu akipigwa kwa hasira na akipigwa kawaida. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
484 Views
Habari wadau, Naomba aliyefanikiwa ku upload file la nida kwenye mfumo wa maombi ya mkopo maana nimejaribu zaidi ya mara tatu inanigomea , au kuna sehemu nakosea?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari yenu, Natanguliza shukrani kwenu Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka juzi na alipata division two ya 19 na masomo ya sayansi alpata Kama ifuatavyo phyz-C, chem-C,bios-C. Sasa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu wana JF mwenye uelewa msaada jamani na chuo ambacho nilipangwa sikusajiliwa.Je itaasiri uombaji wa chuo mwaka huu TCU
0 Reactions
76 Replies
15K Views
Niliwahi kuja na uzi humu wa kitafuta vitabu vya Alfu lela ulela matoleo ya zamani. Vilitoka vitabu vinne. Nilipata toleo la 2,3 na 4. Bado la 1 sijapata. Kama unalo naomba kupata scanned copy yake.
0 Reactions
13 Replies
922 Views
Wajuzi, kuna dogo anataka kusoma hiyo kozi hapo juu.. naomba wajuzi mnipe ABC nionzie wapi kumshauri. Na je ni kweli ukipata hiyo mkopo 100%?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu nimeombwa ushauri ulio juu ya uwezo wangu, dogo ana three ya 13 PCB, EDD ni msichana. Nmemshauri km ni education aende phys na chem bios aspire chini kwa sbb za kibiashara. Hapo kwenye...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna shida ya kupata control number kwa wanaosajili undergraduate mikopo ya elimu ya juu. Sijui shida ni nini. Baada ya ku confirm jina na kuweka details zinazotakiwa, system haileti control...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Smahanini jamani, nilikuwa naomba mkopo wa elimu ya just Sasa kwenye kukagua partial academic transcript yangu ya diploma nimekta muhuri aujapigwa vzuri haiwez kuniletea shida
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Back
Top Bottom