Tanzania hususani idara ya elimu bado tuna mapungufu kadha ambayo yakifanyiwa kazi basi soko la ajira litakua kwa Kasi na vijana kupungua kukaa vijiweni na kutumia mihadharati,
Mfano mitaala...
Kijana aliyepata division two EGM anaweza kuchaguliwa UDSM? Je ni kozi gani nzuri kwake? Je asipopata UDSM anaweza kupata chuo gani kingine au kozi gani. Yeye anapenda kozi yeyote.
Je, nimshauri...
Hello marafiki.
Kuna ndugu kaniuliza swali hapa.
Anataka kujoin bachelor mwaka huu.
Hivi kati ya Bachelor of Business Administration (BBA) na Bachelor of Commerce (BCOM) ungemshauri asome kozi...
Hivi huyu ni Ben Mkapa wetu?
Aliyemkosoa Chinua Achebe......kwenye kitabu chake cha "No longer at ease"
Ben Mkapa of the W.E.B. DuBois Institute wrote, "Achebe has a broad vision of the world he...
Habari zenu wapendwa.samahani nina binamu yangu kamaliza kidato cha sita mwaka huu alisomea HGL ambapo matokeo yake ya kidato cha sita alipata div 2.12 ambapo kila somo alipata D.Tunaomba ushauri...
Wakuu habari msaada kwenya tuta kuna mdogo wangu namfanyia application za vyuo hii Bachelor of Science in Education na Bachelor of Science with Education tofauti yake ni ipi
Kuna shule nimeikuta huku Mbeya, inaitwa MPUGUSO SECONDARY SCHOOL wilayani RUNGWE, sio ya bweni....!
Wanafunzi wanaenda shule SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI wanatoka SAA TATU KASORO USIKU, imagine SAA...
Habari Wana forum,
Naomba kueleweshwa mtu anaendaje kuomba nafasi ya kusom degree ya medicine physically?na asaidike?
Je, hiyo inaezekana kwa vyuo gani?
Samahani,Kuna watu wameapply udom na maombi yamekubaliwa...
Maana mm nimejaribu na nimelipia ila bado wananiandikia not paid
Na nimewapigia cm wakasema ni tatizo la kimtandao ila hadi asa ivi...
Najua wakati mwingine mnapitia hali ngumu, hakuna wa kuwasaidia katika masomo haya ya sayansi labda kutokana na changamoto ya masomo haya!
Basi nipo Hapa kuwasaidieni either kwa maswali conceptual...
Habali Ndugu,
Mimi ni Mwalimu wa Masomo ya Science na ICT kwa shule za Msingi na Secondary.
Nimesoma Bachelor of Education in Science with ICT (UDOM).
Kama unahitaji Mwalimu wa TUITION kwa...
Wakuu habari kuna dogo anataka kuomba chuo cha udsm ila kwenye kujaza index namba anaambiwa inatumika na mtu mwengine hivyo suluhisho lake ni lipi ili aweze kuomba chuo
Mwenye ujuzi anijuze nini nifanye, nimeingia kwenye mfumo wa NACTEVET kwa ajili ya maombi ya chuo cha afya nikatumiwa namba ya malipo lakini inakataa kuilipia, nikirudi tena kwenye mfumo naambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.