Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Eti Kama jina la baba katika cheti cha kifo kimekosewa ina madhara nikiki-attach kwenye kuomba Mkopo was chuo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau, Ningependa kufaham gharama za mtihani wa Oracle certified associate pia na wapi hapa Daressalaam ninawezapata training
0 Reactions
4 Replies
846 Views
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Imergine unakuwa na principal ya pass ya physics au chemistry unaenda kusoma economics what's a joke Wanasayansi🙏🤗🤝💪
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Habar wakuu, Bila kupoteza muda naomb niende moja kwa moja kwenye swali. Naomba kufahamishwa app nzur ambayo naweza soma vitabu nilivo download ambapo naweza kubold,kuhighlight na kumark points...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf mm Nina Mdgo wangu amechaguliwa Udom bachelor of Education in Early childhood, naomba ufafanuzi kwa anayeifahamu vizuri hii coz kuhusu ajira zake na changamoto zake pia na je...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Wadau wa Elimu kwa Dar es salaam kituo kipi kinafundisha vizuri masomo ya A-level (form 5&6) kwa mwaka mmoja.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NECTA ACSEE RESULTS: SHULE ZILIZOONGOZA KWA KILA MKOA 1.MWANZA- SUMVE SECONDARY SCHOOL 2.TABORA-TABORA BOYS 3.SIMIYU-MKULA SECONDARY 4.KILIMANJARO-USANGI DAY 5.Morogoro-MZUMBE SECONDARY...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Waungwana habarini za jumapili na pia herini sikukuu njema ya Iddi kwa wahusika. Naomba kusaidiwa namna ya kuweza kukipata kitabu cha No Easy Day by Mark Owen Mwanajeshi wa Seal team USA kwa njia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Clinical Medicine ndo kozi ya Afya ngazi ya vyuo vya kati inayoongoza kuchukua wanafunzi wengi, lakini ndo kozi inayoongoza wanafunzi kufeli, nimepitia data za vyuo vitano nchini, nimeshtuka...
5 Reactions
70 Replies
13K Views
New York is 3 hours ahead of California, but it does not make California slow. Someone graduated at the age of 22, but waited 5 years before securing a good job! Someone became a CEO at...
3 Reactions
1 Replies
540 Views
Wakuu habari Mwaka jana mwishoni baraza la elimu ya ufundi..ilitoa waraka wakusitisha udahiri wa mwezi wa 3 kila mwaka..kwa sababu rukuki zisizo na mashiko. Kimsingi uamuzi huu haulisaidii taifa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu samahani Niko na dogo nataka kumfanyia application sasa naomba muongozo namna ya kufanya application kwa vyuo vyote serikal na private Je na apply kupitia NACTE au naenda kwa Chuo direct?
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari za muda huu wanajamvi. Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu. Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL. Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
wapenzi wa kuondoa ujinga na kuongeza maarifa mnisaidie napata wap chuo chenye cheti cha kuthaminika kwa kozi nimetaja! mhusika wangu amehitim f4 mwaka 2021. nisaidien wide range of choices...
0 Reactions
4 Replies
418 Views
Uzi tayari, Njooni tupeane updates za shule yetu, mazingira, walimu na vimbwenga! Pia tupeane historia ya shule na matukio! Nawasilisha!
0 Reactions
6 Replies
853 Views
Habari wakuu Nina kaka yangu amekuwa akiomba kozi ya nursing chuo Cha serikali mwaka wa pili sasa hapati kwa ngazi ya cheti na diploma matokeo yake ni div 3 ya 25,phy-D,chem-D,bios-C,je nini...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari za muda huu wanandugu wa JF, Pale DMI kuna kozi inaitwa Bachelor degree in shipping economics and logistics hii kozi inahusiana na nini? then kwenye suala la fursa zake ipoje (Au ni kozi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau wenye uelewa wa hii course ktk soko la ajira. Natafuta ushauli kabla ya kuisoma this year kuhusu upatikanaji wake wa ajira
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom