Kila nikiingiza equivalent namba napata meseji hii
"Only post request with a payload is allowed"
Ambapo equivalent namba natumia namba yangu ya chuo niliyofanyia mtihani.
Au nakose...
Wakuu nina mdogo wangu kasoma CBG, na kwa sasa CBG ni kama wameitenga flani hivi kwenye masuala ya afya. Anapenda sana afya kwa yeye. Ningependa kupata muongozo kwenu, kwa matokeo haya hapa chini...
Habari,
Nilikua tunapitia TCU guide book nikiwa na washikaji zangu kitu kilichonishtua nimekuta kozi za afya C.Medicine ambayo anaweza kusoma kwa digrii ni MD na huku kozi zingine ambazo sio za...
Habarini,
Nina Diploma ina Law nahitaji kusoma kozi za degree tofauti na Law
Kipaumbele changu ni kusoma masuala ya serikali za mitaa, maendeleo ya jamii na mipango miji
Vyuo km vile Cha...
Habari za muda wama JF!
Samahani. Niko na rafiki yangu ambaye yeye amehitimu diploma ya ualimu wa physics na chemistry (PCE) Lakini anahitaji kusoma course nyingine tofauti na ualimu.
Matamanio...
Habari ndugu natumai ni wazima ,nina shida ya kitabu tajwa hapo juu hasa tafsiri yake ya kiswahili ,kulikua na uzi wa kitabu hiki mwenye link aniwekee hapa
Nilitaka kuapply chuo fulani, nikaanza kujisajili sasa nikapata changamoto siku 4 nikashindwa kulipa application fee.
Je, itakuwaje ?
Siwezi apply tena ? Hata chuo kingine?
Habari za saizi wakuu
Ninandugu yangu alihitimu diploma ya record management GPA 4.4 mwaka jana 2021/2022 na anahitaji mwaka huu ajiunge degree na alisoma iyo course ya Record baada ya kuwa...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 27 nilikua najishikiza katika Shirika flani ila baada ya mkataba kuisha nikawa Jobless. Kazi zimekua ngumu sana kupata hususani sisi ambao hatuna...
Naomba kujuzwa kuhusu diploma hyo hapo juu (medical lab) kama mtu akifuzu mafunzo ya hyo coarse kwenye chuo kama UDOM au DECCA anapata ajira direct toka serikalini kama ilivo kwa walimu au...
Naombeni msaada wenu wakuu.
Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni...
Wakuu mimi nilimaliza mbeya technical college,enzi za FTC,sasa nikitaka kupata award verification number, kutoka nacte.
Nikiingiza INDEX NO yangu ambayo inaanza na U*/, inakataa, inasema nianze...
Kuna mtu anataka kusoma masters ya Education
Kati ya hii ipi unamshauri
Lengo kuongeza maarifa
1. Masters of education in administration and policy planning.
2. Masters of education in Quality...
Wakuu sito isahau paper ya advanced mathematics 2013, ninacho kumbuka mara baada ya mtihani kuna wenzangu walikua wanalia wakuu, kuna hesabu moja ya calculating device skujua nianzie wapi niishie...
Habari ndugu zangu, ni matumaini yangu sote tu wazima na poleni kwa wachache baadhi yetu ambao hatuko sawa ama kiafya ama kifikra hakika yupo mungu anaetupenda na kutuwazia mema kwenye maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.