Erasto Mpemba (kushoto) na Profesa Osborne, siku ya kutoa tuzo kwa mshindi aliyeweza kutoa sababu za maji ya moto kuganda upesi na kuwa barafu kuliko ya baridi.
Nimeona ni vizuri tujikumbushe...
Habari wana ndugu wa JF,
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa wa hii issue maana kuna story nazisikia ety ukiwa umemaliza form six miaka 5 nyuma then hukuenda chuo but this year unataka uende ety ni...
Za asubuhi wakubwa.
Mdogo wenu nimemaliza kidato cha 4 mwaka 2020,na matokeo yangu ni Chem C,Bios B na Phys D,Math C,English C nikiwa na division II ya point 19...kutokana hali ya kiafya...
Wasalaam wakuu,
Poleni na uchovu wa kazi😓😓😓.
Ngoja niende kwenye point, iko Hivi dogo amechaguliwa combination ya CBG na nimeskia kwamba imetolewa kwenye coarse za afya.
Je, akisoma hiyo...
Hivi inawezekana mtu kusoma MD vyuo vya Tz kwa gpa below 3 kutoka diploma? Kuna rumors naskia watu wanasoma, sasa kuna dogo namuulizia anataka kusoma na ana GPA below 3
Habari wasomi!
Kama title linavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu watatu wa PCM ila wale wanawake ambao wanaishi DAR. Kuna project nataka nianzishe so nahitaji TEAM PCM.
Hakikisha kuna somo...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria...
Habari wakuu,
Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati...
Habari zenu wana Jamii Forums.
Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma.
Wakuu wa DIT, naomba msaada.
Habari!
Nina Diploma in Clinical Medicine, GPA 3.4 ninahitaji kujiendeleza kwa level ya degree lakini sina uhakika wa kusoma full time.
Nilifikiria kusoma Open University Bachelor of food...
Habali wana JF,
Natumai mu wazima wa afya. Ningependa kufahamu katika swala zima la kusimamisha swallah, je ina umuhimu kufanya udhu kila unaposwali?
Kwa mfano ukafanya idhu na kusimamisha...
Habari za wakati huu kwenu.
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na rehema tele atupazo katika maisha haya.
Nimekuja hapa, nikiamini nitapata msaada na ushauri wa kimawazo...
Binti yangu kachaguliwa kusoma A level HGK shule ya serikali, yeye anapendelea kusoma science haswa engineering.
Kipi bora kusoma A level HGK shule ya serikali au nimpeleke DIT three years...
Kama ningeweza kurudisha muda nyuma ili nirudi kuwa muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022, basi ningefanya yafuatayo ili niandae vizuri kesho yangu:
Sitaomba Chuo Kikuu kwasababu tu nimemaliza...
Kama upo chuo au ndio unaenda jitahidi sana kuwa C student soma kama wajibu ila anza kuingia mtaani. Hii itakusaidia kujijenga kwa ajili ya Maisha ya mtaani.
Bodaboda
Bajaj
Mitumba.
Saidia fundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.