Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wanajukwaa, A Level mwaka huu jiandaeni kwa matokeo ya kushangaza sana, Kwanza, kuna uwezekano heshima ya matokeo ACSEE kurudi kama zamani zile kwa sababu wanafunzi mmekuwa mkifaulishwa...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wapendwa! Naombwa kujuzwa ndugu zangu, Mimi ni mtumishi wa umma yaani ni afisa mtendaji kijiji, nina diploma ya maendelo ya jamii lengo langu nisome short course pale chuo cha Bandari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Poleni na majukumu, ni mwanafunzi wa Bachelor of pharmacy mwaka wa Kwanza. Ninashindwa kulipa Ada yote chuoni Ninaomba alie na uwezo japo kidogo anisaidie, ninaishi na mama Tu na Hana...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu I was in a high school in Kibaha Secondary School miaka ya nyuma kidogo. Sasa There was this teacher, Mr. John. Huyu Ticha He was a big guy and used to beat the living crap out of boys...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nauliza kama hapa JF wapo waliopitia Mkwawa High School miaka ya 1974-75?
1 Reactions
183 Replies
30K Views
Naomba nnisaidieni kozi pale SUA na ARDHI Nina Hist-D, Economy-D, na Geo-C ASANTE.
0 Reactions
2 Replies
440 Views
Habari wanajukwaa, nilikuwa nafuatilia loan board statement ili kujua kiasi kilichobaki nikilipe Sasa baada ya kuipata nimekutana na majanga. Yaani kiasi nilicholipa Kwa miaka Saba ya utumishi...
1 Reactions
4 Replies
641 Views
Habarini Wakubwa Zangu, Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Dar Es Salaam (U
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Hbar zenu wadau! Kwa ufaulu wa wa advance level physic,"d",bios,"c",basic applied mathematics, "E" Naweza kupata kozi ya MULTIMEDIA TECHNOLOGY AND ANIMATION udom msaada tafadhalii wakuu
0 Reactions
9 Replies
394 Views
Je ninaweza kusoma software engineering Kama advance nlisoma EGM
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau habari. Kama heading ilivyo, naomba kujuzwa shule ya sekondari (iwe ya wasichana au mchanganyiko) yenye maadili ya kiislamu. Pamoja na maadili, iwe academically excellent. Ikiwa ya bweni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau naomba tujadiliane kidgo kuhusu miaka ambayo elimu ya Tanzania ilikuwa na value(thamani) katika soko la ajira yaani miaka ya 90 na sasa ambapo inaonekana dhahiri elimu yetu haina thamani...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Haba JF Naomba msaada kwa mtu yeyote anajua wapi kunapatika college inatoa Course tajwa hapo juu mkoa wa Dar es salaam. Au Mtu yeyote ambae anaofisi anatafuta watu wa kuwafundisha. PM ikiwa...
1 Reactions
0 Replies
655 Views
Kama serikali, itaamua kuwajengea nyumba wananchi wake walioko milioni 60; nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 20 kila moja. Je, serikali itatumia jumla ya kiasi gani, katika ujenzi huo...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Jamani hii mitaala ya elimu ya hawa wazungu ifike mahala ibadirishwe maana inawalisha sumu watoto wetu kwa kuwambia eti tumetokana na sokwe sijui nyani daaah binafsi naona haiko poa kabisaa. Hawa...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Ni taasisi ya kielimu inayo jihusisha na masuala ya kielimu kwa ngazi za awali, msingi, sekondari pamoja na vyuo vya kati Ni taasisi inayo jihusisha na kutafuta watoto kutoka katika mazingira...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam kwenu wakuu Wiki ilopita nilieleza mateso anayopitia mdogo wangu baada yakutorudishwa kwenye mfumo wa mkopo baada yakusitisha mwaka wa masomo kwasabau zaugojwa. Tangu mwezi March dogo...
1 Reactions
6 Replies
706 Views
Kwema wasomi? Kuna jamaa angu ni in service wa halmashauri moja hapa Tanzania, mwaka 2019 alinifuata kuniomba ushauri wa program na chuo cha kusoma hapa Tanzania, kwa uelewa wangu kiasi niliokua...
3 Reactions
74 Replies
6K Views
Declaration of interest, Sijasoma undergraduate Udsm, Nimeishi pale kwa miaka kadhaa miaka ya mwishoni mwa 1987 mpaka Mwanzoni mwa miaka ya 1997 sio permanent bali kwa kuingia na kutoka tu, Mara...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Can we help each other with some material kwa wale tunaoanza hizi medical courses plz wakuu wengne hatuna hata idea
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom