Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naomba msaada wakufahamishwa vitu vinavyo itajika kwenye ordinary diploma in clinical medicine na cost kwa vyuo serikal ada yake.
Mdogo wangu kapata matokeo ya DIVISION THREE ya pointi 22.Katika masomo yake amefeli somo la fizikia na hesabu (Physics and Mathematics) ana daraja "F",Kemia na baiologia(Chemistry and Biology)...
Nina mdogo wangu kachaguliwa chuo Cha utumishi wa umma yaani Tanzania public service college kusomea certificate in secretarial studies
Sasa swali langu najiuliza akihitimu ataenda kufanya kazi...
Kuna chuo nchini Uganda nimeomba kusajiriwa kwa masomo.
Nimetuma maombi nikatumiwa reference namba kwa ajili ya malipo, lakini nashindwa kulipa kwa kutumia hizo reference namba maana nimeeenda...
SUA hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnatuwazia nini?Hili ni swali ninalojiuliza ila hadi sasa hakuna majibu.
Watanzania kazi iendelee.
Katika mambo yanayoonekana kuwa...
MLEMAVU WA MACHO ATUNUKIWA PhD
Katika Mahafali ya 52 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Mzee Celestine Karuhawe ambaye ni Mlemavu wa Macho(Asiyeona Kabisa) alitunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD in...
Hii imetokea leo Shule ya Sekondari Ifuunda Tech iliyoko mkoani Iringa majira ya saa nane mchana baada ya wanafunzi kuvunja baadhi ya samani za shule ikiwemo vioo na kuiba kengele na kuificha...
Wakuu msaada kwa wenye materials wezeshi ya civic and moral education class 4 and 7 nataka ninyakue kombe hapa..
Hasa kwa topic constitution, government organs, mambo ya local government, weo...
Naomba kupata outline za course za masomo yanayohusu Field ya geographia Mimi nikijana niliemaliza kidatu Cha sita 2022 combination ya CBG Nina penda Sana geography nanina ndoto za kusoma degree...
Salaam wanajukwaa....
Husikeni na kichwa Cha mada.kuanzia Drs la5hadi7 Kuna mada(umahiri) unaohusiana na Mambo ya kompyuta na matumizi ya intaneti.
Ukienda mbele zaidi Kuna maudhui yanayohusu...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Ningependa nipate muongozo wa kufahamishwa mishahara ya Ma'lecturers ktk vyuo vyetu bongo imekaaje wakuu.
Kuanzia ngazi ya chini kabisa...
wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili...
Kuna dogo kamaliza form four mwaka jana na amepata 4 ya 26 na ana C tatu sema hizo C tatu kombi haijabalance na anataka kujua kozi gani anayoweza akasoma kuanzia certificate na Diploma
Habari zenu wote,
Naomba kuuliza kwa mfano umekutana swali hili hapa “Eleza ni njia gani utatumia ili kufanikisha zoezi la uhesabiji wa SENSA linalo endeshwa kijijini/mtaani iwapo wananchi...
Habarin wanajamvi, mpo salama natumaini.
Samahani nilikua naomba kufahamishwa vyuo bora vya afya kozi ya clinical medicine kwa hapa Dar es Salaam vya private vyenye hostel na very competent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.