MUHASSO ni chama cha wanafunzi wa chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi cha Muhimbili, wanajamii wenzangu nadhani wote mnakumbuka kuwa chama hiki kilifutwa na utawala wa MUHAS kibabe tu na...
Habari za mchana wakuu
Leo nimekuja na orodha ya waandishi ambao kazi zao zipo kwa lugha ya kiingereza ninaowakubali zaidi. Wapo wengi sana ila hawa wachache ndo nimewakumbuka.
Waandishi wa novel...
Wakuu,
Moja kwa moja kijana wenu nimekuja kuwauliza wana jf, Wabovevu na akili kubwa, naomba kufahamu kuhusu michongo ya hii Master ya Project Management.
Je, kwenye soko la ajira ina fursa?
Habari waku, mimi ni kijana nnayejihusisha na ufundi wa magari kwa muda wa miaka miwili na nusu sasa, napatikana Arusha mjini.
Katika shughuli zangu nilifanikiwa kununua Mashine yangu ya...
Shule za vijijini ni kawaida kukuta darasa lina watoto 120 mwalimu ni mmoja na hapo hilo darasa imebidi ligawanywe kati kati nusu wanakuja asubuhi na nusu wanakuja mchana kwasababu vyumba vya...
Bonjour! bonjour! bonjour!!
Hello! hello! hello!!
Ndugu; Kwa wale wanaozungumza au kutumia Lugha ya Kiingereza mtakubaliana na mimi kuwa ni ukweli ulotukuka kuwa lugha ya kiingereza imesheheni...
Jamani hivi ni kweli kwamba ukisoma EGM a'level University utasomea kitu kimoja na yule aliyesoma HGE.
Naomba kwa wale wajuzi wanijulishe kama ni kweli na kama si kweli ningeomba mnijulishe ni...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) limefuta usajili wa vyuo vya CAGETI College of Health Science na Mafinga College of Business Education vilivyopo Mafinga mkoani Iringa
Pia chuo cha Mbozi...
Wakuu poleni na majukumu, naomba niende direct kwenye topic
Naomba mwenye Act medical and dental practitioners ya mwaka 2005 cap 152 naomba anisaidie maana nimepata ya 2010 ambayo inamatatizo...
MAZINGIRA MAZURI YA MTOTO KUJISOMEA NYUMBANI
1. Kuwe na chumba maalumu chenya meza na kiti au sehemu maalum isiyokuwa na usumbufu kwa ajili ya wanafunzi au Mwanafunzi kujisomea akiwa...
Heshima kwenu wakuu wanajamvi,
Nina mtoto wa dada yangu amehitimu kidato cha nne ila matokeo hayakuwa mazuri. Naombeni ushauri ipi njia sahihi ya kumuendeleza?
Ni mtoto wa kike miaka 16. Ana...
Ninashida na kitabu cha someni kwa furaha 2B kile chenye hadithi ya Bulicheka. Na kitabu cha Alfu Lela Ulela(Ile tafsiri ya zamani achana na hii mpya ya Mkuki na nyota) vitabu vyote vinne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.