Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kama kuna member yoyote anaweza kunipa ushauri kuhusu hiki chuo cha ufundi ndege kipo zimbabwe naomba please nataka kuapply pale nimpeleke mwanangu
1 Reactions
5 Replies
740 Views
Waraka wa wazi kwa Waziri wa Tamisemi. Kwa kuwa wizara yako ndo inahusika kupanga majina ya walimu vituoni, moja kwa kwa moja sisi kama wadau wa elimu tunaomba mtoe miongozo kwa wahitimu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education kenya wazazi,walimu na wanafunzi hawautaki Baadhi ya vyama vimeweka kama Agenda ya uchaguzi kuwa wakishika madaraka hup mfumo wa...
2 Reactions
98 Replies
6K Views
Mwenye diploma ya marketing ataweza soma course za afya Kwa level ya bachelor
2 Reactions
11 Replies
834 Views
Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake. Matokeo yake yakoje: Haya hapa: Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza? Long course ya umeme ya veta chang'ombe inachukua miaka mingapi? Hapa nikimaanisha hadi level 2. Na mwaka huu wanaanza mwezi wa ngapi? Pia nahitaji kujua Ada yake sh ngapi?
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Naomba kuelewa unajimu huu... Ni kwa nini angani kuna baridi sana ilhali kila unapopanda juu ndio unavyozidi kulisogelea jua ? Jana maafisa wa usalama wa anga wa Uholanzi wamesema wameshindwa...
2 Reactions
55 Replies
7K Views
Habari naomba kuuliza tofauti ya sc na pc katika suala la elimu pia kitaaluma...na vigezo vya ufaulu vinakua sawa au
1 Reactions
4 Replies
595 Views
Mwaka jana kwa upande wangu ulikuwa mwaka mgumu sana baada ya kuwapoteza ndugu zangu katika masomo, rafiki ambao tulisaidiana kwa kila shida na tulishirikiana katika raha. Wawili hao walikuwa...
11 Reactions
103 Replies
6K Views
Habari waungwana ninaomba kujua kuhusu vyuo vya ufundi vilivyopo dar ninavyo weza kujiunga navyo
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Habari ndugu wanajamii forum, Imekuwa ni kawaida kwa wanafunzi wa maskini wenzangu kukaa shuleni masaa kumi na mbili bila kula, yaani akienda shuleni saa kumi na mbili hapati chakula chochote...
2 Reactions
4 Replies
742 Views
Wandugu poleni na majukumu mm mdogo wenu ninaelimu ya kidato cha nne na nilipata dvtion 4 hivyo sina fani yoyote but ktk pitapita zangu nimekutana na hii couse inasemekana wanatoa short couse kwa...
1 Reactions
3 Replies
539 Views
Msaada kwa mwenye uelewa juu ya Faculty ya Bach of education in administration and management katika chuo cha UDOM
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa sasa Tume ya Vuo Vikuu Tanzania(TCU) imeweka vigezo kwa wanafunzi wa Maters kuwa na Publication katika reputable journal, hasa kwa wanaofanya by thesis na PhD students. Kuwa na publication ni...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Fursa za ufadhili kwa Watanzania Mauritania na Urusi
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Habari, Sisi ni wanafunzi wa afya ambao mwaka jana mitihani ilivuja kwa baadhi ya Vyuo na uamuzi uliofikiwa ni kufutia matokeo na kufanya mitihani upya jambo ambalo ni sawa kabisa. Shida imekuja...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu naomba kuuliza ni chuo gani kinatoa kozi ya mambo yote yahusuyo stationary. Natanguliza shukrani[emoji120]
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada wa procedures na vitu muhimu vya kuwa navyo ili kufanya application ya bachelor degree kwa kutumia diploma certificates.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hallo Hellena Lile Beberu Bora Chinja Na Ondoa Figo Nene Na Mzungu Aliye Simama Pale Serengeti Club Arudi Kwao Canada Miaka 6 iliyopita nilikua busy kufanya huu ujinga. Periodic table for the...
19 Reactions
222 Replies
25K Views
Back
Top Bottom