Wakuu naomba utofauti wa namna ya kujibu swali kutokana na hizo key(hayo maneno)
Mfano umepewa swali:
Explain types of research.
Describe types of research.
🙏🙏🙏
Habari ya majukumu wana jamii forums wote, heshima kwenu nyoote mnaoendelea kupapamba kwa ajiri ya maendeleo ya maisha yetu,
𝐉𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐤𝐮𝐮 𝐥𝐢𝐥𝐢𝐥𝐨 𝐧𝐢𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐮 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐣𝐚𝐦𝐯𝐢 𝐧𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐮𝐟𝐚𝐟𝐚𝐧𝐮𝐳i 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐮...
Niaje wakuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Si ndo tukafungua "goli" pande za kwa Azizi palee, na washkaji zangu wawili, karibu na kile chuo cha wale jamaa wa mambo ya hela...
Habari wakuu,
Nahitaji kwenda kusoma nchini Marekani katika kozi za Afya especially nursing, nategemea kujigharamia mwenyewe gharama zote mpaka kumaliza masomo.
Naomba kupewa taarifa na wazoefu...
Habari wakuu? Mimi ni kijana mwenye shahada ya kwanza ya uhandisi wa viwanda.
Muda sasa nimekuwa nikifikiria wapi nitapata 'short courses' hasa kwenye vyuo vyetu/taasisi za ndani kwa ajili ya...
Ninaitwa Louis M Fussi Nina umri was miaka 24, Nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management kutoka chuo kikuu SUA. Ninaomba nafasi ya kazi, kujitolea ili niweze kuepukana...
Habarini za wakati huu wana jamvi,
Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi...
Nimepata mshtuko na kushangaa Sana ,Mara baada ya kuona vigezo vipya vilivotolewa tar 15.7 Kwa wanaotaka kujiendeleza kielimu idara ya Afya kutoka stashahada kwenda shahada.
Ikumbukwe kabla ya...
mi ni mwalimu wa sekondari natafuta mwalimu wakubadilishana vituo vya kazi nitoke Bariadi niende aidha Nyamagana, Kahama, ilemela au shinyanga kama yupo anipm
WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Naitwa mwal msofe nipo mara musoma... sehemu nzuri... huduma zote zipo... usafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.