Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Je, hii namba ipo? Na je, inafahamika?
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa mliwahi kurudia mtihani wa kidato cha nne au mwenye kujua, ilirudia somo moja la physics mwaka jana na nimepata alama D, nimewahi kusikia ili upate cheti kama umefanya somo moja inatakiwa...
0 Reactions
2 Replies
640 Views
Wakuu samahani Mdogo wangu matokeo ya form 4 kapata D mbili je ni chuo gani naweza mpeleka akaanze certificate msaada wa mawazo yenu ndugu zangu
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Wakuu habari za mda huu na poleni kwa mihangaiko! Kama maana inavyojieleza hapao juu. Nahitaji mwalimu ambaye yuko vizuri kwenye upande wa database ili apate niwe mwanafunzi wake kuna changamoto...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile,wewe unakumbuka lipi? 1.Hewa ya ukaa -Carbon dioxide. 2.Joto ficho -Latent heat. 3.Hamirojo -Protein...
3 Reactions
107 Replies
31K Views
Mimi nimesomeshwa hilo, yaani kila teacher wa lugha niliyokutana nao ktk kipengele cha poems basi hapo ndo Kimbilio. Mengine ni: A freedom song Development n.k Miaka zaidi ya 15 baadae, watoto...
2 Reactions
8 Replies
843 Views
Sifa na Utukufu ni Mali ya Mungu wetu, Naliinua na kulitukuza Jina lako sasa na hata milele. Moja kwa mbili kwenye mada, Wadau wa elimu, afya na vyuo vya utabibu na Nacte, ninawauliza je, ni Nini...
3 Reactions
60 Replies
11K Views
Mwanzoni nilileta bandiko hapa kwamba nimeamua kurudia mtihani wa kidato cha nne baada ya miaka kupita 10 wadau walinishauri vizuri sana Pia nilieleza changamato yangu ya kutokusikia vizuri huku...
0 Reactions
6 Replies
806 Views
Leo Kuna mwalimu nimekutana naye akanieleza kuhusu kalenda mpya ya kufundishia shule za msingi na za sekondari. Anadai kuwa waalimu Tanzania nzima watafundisha kitu cha kufanana ktk wiki na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari.. Kuna mdogo wangu, amemaliza form 4 , ila matokei yake sio mazuri, tume plan kumpeleka akasome short course, chuo chochote cha veta.... Ila sasa, hatujajua akasomee kozi gani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu hayati mzee wa chato alisema mwezi huu somo la historia ya Tanzania ianze kufundishwa nchi nzima kwa lugha ya kiswahili na ndalichako alisema kila kitu kiko sawa! Sasa naona kimya hadi Sasa...
0 Reactions
6 Replies
967 Views
Hivi hii degree ya clinical medicine,ni miaka mingap huko nje ya nchi,na ukirud unaruhusiwa kufanya operation zote kama MD..??Na anejua ada ya chuo kimojawapo kwa mwaka anisaidie kufahamu hilo pia.
2 Reactions
70 Replies
10K Views
Wakuu habari kama kuna mtu ana videos tajwa hapo juu tuwasiliane please tuyajenge nataka nianze kusoma vpa naanza na foundation stage
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu; naomba mtu ambaye ana notes za vipengele vifuatavyo anisaidie; WhatsApp 0733112180 E-mail: hoseadocuments@gmail.com A:GOLD EXTRACTION (i) Gold mineralogy (ii)...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Naomba mwenye ulewa anisaidie namna ya kujaza maombi ya kuresha fedha iliyozidi Toka bodi mikopo Kwa njia ya online. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe? 2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Jamani, niko na mdogo wangu wa kiume anasoma Olimpio hapa Upanga yuko darasa la 4 kuna kibarua nilikuwa najishikiza sas mkataba umeisha na anatakiwa aende shule na kule imekuwa mbali kwaiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni kujua shule za msingi za serikali, wanatumia vitabu vipi ,Darasa la Sita .kuna Dogo nataka nimtaftie hivyo vitabu. Ikiwezekana naomba na PICHA ili iwe rahisi nikienda kukinunua...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom