Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wana JF, Nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga VETA koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana nisiwachoshe yeyote mwenye soft copy ya Kitabu cha " Mabala the Farmer" naomba anipatie . WhatsApp 0692101471 Asanteni sana
1 Reactions
3 Replies
575 Views
Habari zenu wana JF. Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka pamoja na selection lakini ningependa kujua mapema ili nijipange(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini, Huyu mwalimu...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wale wataalam wa hesabu hebu nisaidieni namna ya kusolve hii haraka, nimejaribu njia zote nimeshindwa (Log... etc), sasa sijui ni uzee unanisumbua!! 2x=4X The answer is 4, sasa tatizo ni namna...
2 Reactions
160 Replies
16K Views
noamba mnijuze mambo mbalimbali kuhusu shule hiyo
1 Reactions
270 Replies
51K Views
I see shida ni nini Ofisini tunapata shida sana na hawa UDOM alumni wengi wao hakuna wanalolijua Shida ni nini haswaaa? au Ni Kubebwa na Jina tu. UDOM Wengi waliograduate hawana skills zozote...
1 Reactions
82 Replies
6K Views
Wakuu Sina la kusema Sana nitaatach maswal ya MALISA ambayo amewauliza NECTA Kama haitofunguka Anauliza shule ya SEKONDARI ANWARITE ina watoto 76 wote wamepata daraja la 1 na imekuwa ya 11...
12 Reactions
75 Replies
7K Views
hili limejili leo kwenye chuo kimoja cha afya nakupewa muongozo mpya wa udahili ktk kozi ya pharmacy upande wa certificate na diploma kutoka kwenye D mbili ya chem&Bios na sasa imekua D tano...
3 Reactions
23 Replies
8K Views
Samahani kwa Usumbufu Waungwana, ukisikia mtu kapata 3:21points kwa Advanced Level anakua amepataje? Yaani A,B, C ngapi? Sorry
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hizi siasa za Tanzania hazina usawa[emoji847][emoji847][emoji847]tukiwi tumelala kumbe kuna Makamanda wezetu wanapata michongo kama hii; Salaam kamanda Yerricko Nyerere, 1. Nakutaarifu kuwa wewe...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Ufaulu wa huu huyu binadamu anaweza kusoma ngazi ipi ngazi ya certificate:- B/math F Geo. F Hist. D Civics. D Kiswa. D Engl. D Litera. D.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Elimu ya kizamani, iliwajaza makupe, Wakatunyonya jamani, tukabakia weupe, Sasa tusiithamini, mashimoni tuitupe ELIMU YETU YA SASA, YAWAFAA WATU WOTE. Chako ni chako jamani, usikionee haya, Sina...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Hello guys, can anyone who is capable of filling the gap on the question below assist me?
1 Reactions
6 Replies
639 Views
- Habari za wakati huu mabibi na mabwana wa humu jamii forum. Tuachane na salamu maana lengo la kuandika uzi si kusalimu watu. - Nimesikia habari za kubadili mtaala wa elimu na nimesikia maoni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shule ya sekondary Kemebos. Haya matokeo sio ya kawaida. Sent using Jamii Forums mobile app
9 Reactions
224 Replies
32K Views
Katika kumi bora,wanafunzi saba wote wanatoka st Francis ya Mbeya.Nini Siri ya mafanikio ya shule hii ni walimu au ni wanafunzi wanaoenda pale wako bright sana? Watahiniwa 10 bora Kidato cha 4 1...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Mwanga Mpya Co. Ltd inakukaribisha katika mafunzo ya uandishi wa research/dissertation ambayo yatafanyika kwa siku mbili (Januari 29 na 30) mwaka huu 2022 ndani ya Jiji la Dar Salaam. Gharama ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu, Kuna jambo naomba kusaidiwa, kuna mdogo wangu naishi nae hapa nyumbani nataka kumtoa shule ya kata ya kutwa na kumpeleka shule yoyote ya serikali ya bweni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom