Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Toka mwaka jana nilianza kupata mashaka makubwa kuhusu haya matokeo yaliyosheheni division one za saba kiasi cha kutia shaka. Leo nimebahatika kupata...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie jina la kitabu kizuri cha communication skills au pdf kabisa.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye kufahamu anisaidie
1 Reactions
10 Replies
839 Views
Kwanza kabisa nitoe maana ya title hapo juu. Kuifanya Mbeya kuwa workshop ya elimu ni kama kuufanya mkoa wa Mbeya mfano wa kuigwa au sehemu ya kujifunzia kwa mikoa mingine Kutokana na kiwango cha...
5 Reactions
132 Replies
8K Views
Shule kesho zinafunguliwa; kuna jamaa yangu hapa ana watoto wanne na kila mmoja ada haipungui milioni mbili na nusu kutokana na shule aliyowapeleka. Namuona hapa yupo anang'ata midomo tu. Jamani...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakubwa nimeona ipo haja ya kufundishana kuhusu hatua za awali ktk kupambana na moto katk makazi na jamii yetu.
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Ninaomba msaada kwa yeyote anaejua zinapopatikana fomu za kujiunga za shule zifuatazo anitaarifu; Rosmini High School - Tanga Anwarite Girls Secondary School - Moshi St. Mary’s Mazinde Juu...
1 Reactions
27 Replies
12K Views
Clinical officer ana GPA ya 2.7 anataka kusoma MD afanyaje..?! Au kozi gan nyengine anaweza kusoma?
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakati mnapigania elimu bure, nyie mnajua jinsi ya kuwekeza kwenye elimu bora. Namba 5
4 Reactions
74 Replies
6K Views
Nilitegemea sisi tunaopeleka watoto Kayumba ndo tushangilie hayo matokeo coz shule na huku Kayumba ni ya kubahatisha. Sasa nyie mnapeleka watoto Feza Schools, St. Francis, Kaizirege na nyie pia...
12 Reactions
40 Replies
3K Views
Habarini wana JF kwa wale ambao wamesoma na wanaosoma Bsc in Chemistry tupene skills na experience kuhusu hii course.
2 Reactions
3 Replies
963 Views
Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako. Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya...
1 Reactions
7 Replies
844 Views
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya...
3 Reactions
6 Replies
856 Views
Habari wakuu Elimu yangu Ni kidato cha sita comb pcm ndio nasubiri matokeo mwakahuu nawezaje kupata scholarship nchini Australia maana imekua Ni ndoto yangu kusoma uko lakini sina uwezo
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Nimepitia matokeo yaliyotangazwa na Necta na kugundua wanafunzi wa shule zinazomilikiwa na taasisi za kiislamu wamefanya vizuri kwenye somo la dini. Hili ni jambo jema sana!
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu wadau Kuna dogo langu amepata alama zifuatazo chemistry C , Mathematics C, na kiswahili D anaweza kujiunga na Chuo chochote Kwa kozi yoyote naomba msaada alimaliza 2012
0 Reactions
6 Replies
741 Views
🎓 Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools) 🎓 Division IV - 51.46% 🎓 Division 0 - 12.7% Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wadau. Video ya wanafunzi wa shule ya serikali Kenya waki have fun kucheza wimbo wa jerusalem Binafsi nimeitizama sijavutiwa na style za kucheza. Bali mazingira ya shule yenyewe kuanzia...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndug zangu Salam alyekum,.na wakristo bwana yesterday asifiwe na wale wapagani niaje,.na wale marasta fariii amani itawale.. Baada ya ndugu yenu kuhangaika Sana kutafuta mafanikio kwa kaelimu...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari kwa wale tulisoma shule hii kongwe ya Tosamaganga mkoani Iringa unakumbuka nini katika kipindi ukisoma, moment mbalimbali kama mpira kule msiwasi, sumu, misuli, makongamano mbalimbali pale...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom