Katika kitabu kitakatifu cha Biblia, Marko 10: 25 inasema: Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
Wanachokielewa wengi, wakiwemo baadhi ya...
Kwa wale wenzangu tuliosoma sheria udsm, tunajua kuwa ni kabudi na majamba tu ndio walipata first class. hii naunganisha na law school ambako wanaweza kufanya mtihani watu 200 wakafaulu 50, one...
Wasalaam wakuu.
Mdogo wangu ana GPA 3.1 ya chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hivi hii G.P.A yake ndogo anaweza kupata nafasi ya kusoma Masters?
Karibu wataalamu wa masuala ya elimu.
Marhabaa wajukuu zangu kwa salama zenu, nirudi kwenye mada tajwa.
Naskia sikia muda wowote kinasomeka ili sikukuuu ya Xmas mwenye kula pilau ale na mwenye kula ngarerimo ale kila mtu atakuwa na...
Hey, niggaz kwanza samahanini wote najua nimeweka huu uzi sio mahali pake lakn just nmeweka hili jukwaa sababu huwa nalikubali compared to other forums
Me nna swali kdogo tu
Always machimbo...
Habari zenu.
Guys I am starting with apologize.Nilikua nataka kujua kozi ya human resources unaweza kujiajiri?If yes,How? I need some explaination about ugumu wa kozi hiyo na urahisi wake pia. Na...
VITABU VINAHITAJI MSAADA PLEES
Habarini natumaini mko poa PLEES
Mwenye vitabu vya FASIHI ,RIWAYA ,TAMTHILI NA USHAIRI NAOMBA ANISAIDIE HATA NIKIPATA TAHAKIKI YA KIDATO CHA 5 & 6 ITAKUWA NJEMA...
habari wana jamvi
bila kuwachosha naomba kuulizia kama kuna mtu yeyote anaefahamu au amewahi soma Masters of Arts in Demography (MAD)
Napenda kupata experience kuhusu program hii,
1...
Msaada ndugu zangu.
Nataka mwaka huu nikajiendeleze na masters degree.
Target yangu nikusoma moja kati ya hizo kozi tajwa hapo juu. Najua humu kuna watu wanaufahamu mpana juu ya hayo mambo...
Kama mupo walimu wa tabia hii jirekebisheni.
Mzazi unahangaika unapata chochote kitu unaamua kumtumia mwanao pesa ya matumizi, kwa kuwa wanafunzi hawaruhusiwi kumiliki simu tunatumia namba zenu...
ALTERNATIVE METHOD FOR SOLVING THIS CALCULUS PROBLEM
Dears calculators (by the way, what do you call the people who calculate?)
The method used in solving this calculus problem is superb but...
Watu wengi wanasema maisha baada ya chuo huwa ni magumu sana kwasababu ule mzunguko wa kupata pesa kama kipindi mtu yupo chuo huwa ni mgumu.
Kwa experience yako unampa ushauri gani mtu ambae...
Habarini Wakuu,
Kuna shule mpya imefunguliwa huko Kinyerezi ambayo itaanza operation officially kuanzia January 2022.
Shule itakuwa ni ya Pre and Primary School mbeleni itakuwa na secondary pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.