Heshima kwenu wakuu,
Hebu tuutafakari ujumbe hop chini kama mwana JF mwenzetu MRAMIRA alivyotanabaisha.
UTANGULIZI
Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu...
Nakusalimu kwa jina la jamuhuri.
Katika hali ambayo ni ya kawaida, umezuka mjadala juu ya uwezo wako wa kujieleza kwa kutumia lugha ambayo kwa asilimia 90 ndio iliyokutunuku kiwango cha elimu...
Wazee wa "ceteris peribus" habarini.
Bila kuwapotezea muda naomba kujua endapo kama bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) huwa wanatoa mikopo kwa wanafunzi wanaosomea bachelor of...
Katika selection kwa baadhi wameandikiwa shule na imeonyeshwa kabisa kuwa ni shule ya kutwa
Lakini kwa wale wengine imeandikwa tu “shule teule” je, itakuwa kutwa au ya kulala?
Nina mdogo wangu wa kiume kapangiwa form one shule ya serikali ya kutwa. Yuko Arusha na alisoma shule ya masister kwa jina Teresa nuzzo. Alifanya vizuri na ni very bright. Kama Kuna mtu Yuko...
Habari waungwana.
Katika harakati zangu za kuboresha utendaji kazi wangu, nahitaji kupata maarifa ya GIS & RS, je ni wapi kwa sasa ninaweza kupata mafunzo ya muda mfupi (2 to 3 weeks) kuhusu...
Mzumbe Secondary Alumni ni umoja unaowaunganisha watu wote waliosoma shule ya secondari Mzumbe tangu ilipoanzishwa.
Lengo la thread hii ni kupost matukio mbalimbali yanayohusu shughuli za alumni...
Je unafanya Dissertation na unahitaji msaada wa kitaalamu kuhusu namna bora ya kuandika au kusaidiwa kuandika ili uweze kupata Master's degree au Kupublish kazi yako?
Karibu! Tupo kwa kazi hiyo...
Wadau naanzisha huu Uzi kwa ajili ya wale walipitia open university watoe ujuzi wao kuhusu elimu ya open,changamoto zake na faida zake ili kuwatia moyo hawa wanaotaka kujiunga mwaka mpya wa masomo...
Kwa wataalamu wa IT Na ICT, na masoko jinsi yalivyo. Course ipi ni nzuri?
1 . Web designing
2. Vfx and animation
3. Software and programming languages
4. Tally
5. Cyber security
6. Computer...
Wakuu niaje?
Hatimae dogo anaanza chuo UDSM mwaka huu. Amekomaa tumpangishe survey kwa vile marafiki zake nao wamepata huko pia, je kuna usalama kweli? Au ndo mwanzo wa kumpoteza kabisa kwenye...
Nina...
1. Diploma in Finance
2. Bachelor of Science in Economics and Finance.
3. Masters of Science in Finance and Investment.
Lengo langu lilikua ni kwenda Nje kusoma PhD in Economics ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.