Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nimekuta huu ujumbe sijui unamaanisha nini "Due to unusual level of activity, responses are delayed, You are in service queue number . Customer with service number 69936 Is currently being...
0 Reactions
7 Replies
731 Views
Habari, Mimi ni binti wa miaka 23, nimemaliza Diploma ya clinical medicine, Niko mwanza, ninahitaji msaada wa maelekezo ya namna ya kupata ufadhili wa masomo au ufadhili kabisa wa kusomeshwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanaJF Nimeamua kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kuwakutanisha wadau wa elimu na wale wote ambao walipita shule ya sekondari ya ufundi tangu kuanzishwa kwake mnamo 1957 . Lengo ni...
4 Reactions
135 Replies
23K Views
Habari JF..... Naomba msaada naitaji kurudia mitihani mwakani na nilimaliza kitado cha 4 mwaka 2015 je itawezekana ku_ resit Mwenye uwelewa pls msaada wake maana dawa hata sielewi ni anzie wapi.
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kama ulitaka kujua masomo ambayo yanafundishwa kwenye shule za international. Hapa ntakuonesha masomo yote na topics mbali mbali wanazojifunza. Ili wewe kama mwanafunzi ujue masomo ambayo...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
MCHANGO WA UISLAMU KATIKA MAENDELEO YA MWANADAMU Katika maelezo mafupi namna hii haiwezekani kuwepo kwa suala la kutaka kuorodhesha namna ambavyo utamaduni wa Kiislam ulivyochangia katika...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Hawa Mlimani Driving wanatoa Course ya Driving kwa bei Kubwa sana kulinganisha na Driving Course zingine ○Automatic wanatoa kwa 300k ○Manual Wanatoa kwa 270k Serikali inatakiwa iangalie hivi...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Naombeni mnijuze kama Rufaa za heslb zilishatoka au lah
0 Reactions
2 Replies
393 Views
Experience kwa waliowahii kufanya field mamlaka ya bandarii changamoto na manufaa walio pata kufanya field palee
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Umekuwa ukitamani kuwa na tabia ya usomaji vitabu kila siku lakini kila ukijaribu unashindwa USIJALI ngoja nikupe mbinu nzuri unayoweza itumia kwa mafanikio makubwa. Anza leo kutumia 'Pomodoro...
7 Reactions
9 Replies
4K Views
Mdogo wangu amepingiwa Liwale HS mkondo HGL. Mwenye joining instructions na ufahamu wa mazingira naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kumbe kipaji kikiendelezwa kinakufanya kuwa mtu wa thamani kuliko hata kumiliki digrii. ama kweli kwa mfumo huu wa elimu wazungu walitupiga na kitu kizito.
2 Reactions
1 Replies
890 Views
Nilikuwa nataka kufatilia zaidi ila huyo mtu aliekuwa anajua hizi ishu na kufanikiwa kuvusha ng'ambo ndugu zake kadhaa aligeuka kunikatisha tamaa wazi wazi, ndipo nilipojua hii kitu wachache...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Salaam, Likizungumzwa na somo la hisabati kwa shule za sekondari,kila mtu anakumbuka mbali.Kuna wale waliokuwa hawaliwezi kabisa yaani topics zote kitendawili.Wengine walikuwa wanaliweza sana ila...
2 Reactions
177 Replies
25K Views
Tunatambulisha kwenu Amelipa system. Mfumo huu utakuwezesha kuweka kumbukumbu za wanafunzi, malipo ya ada, kutuma ujumbe mfupi wa maandishi pindi mzazi anapolipa ada, kumkumbusha mzazi kulipa ada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefanya utafiti wangu mdogo na nimegundua kuwa nafasi nyingi sana za kazi zinazotoka kila siku ni za accountants, watu wa finance, HRs na Auditors. Na ni kazi ambazo zinalipa vizuri sana...
0 Reactions
4 Replies
733 Views
Ushauri Miaka ya nyuma nilikua naona vitabu vikiuzwa vikielekeza tiba za kiasili !! Ckua na kazi navyo kwan nilikua chaliii!! Lakin tangu ulimwengu wa smartphone bas cvion wala kuvisikia Je...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
niaje ndugu,inawezekana kwa vyuo vya tanzania kuwa admitted degree ya EE kutukoea diploma ya CS ?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar? Nani anaweza kunisaidia hiki chuo kipo accredited na mamlaka za huko? Na je TCU wanakifaham maana kuna ndugu yangu anataka kusoma hapo kwa online
3 Reactions
5 Replies
699 Views
Hello!! Mambo? Poleni na mishe za hapa na pale. Kabla ya yote napenda tanguliza shukrani zangu kwenu. Nilikuwa naomba tupeane mbinu mbili tatu hata zaidi ikibidi namna ya kutusua kwenye usaili...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Back
Top Bottom