Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Waziri tunaomba washughurikie hawa NACTE watoto wetu wanahitaji hizo AVN ili wajiunge na vyuo vikuu na deadline kama TCU walivyotangaza ni tar 15.10.2021 tayari zimeshakaribia.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Swali la nne vipengere vyote
1 Reactions
0 Replies
518 Views
Tunaomba Waziri wa Elimu atueleze mtaala wa pre-form one ni upi? Maana kwa sasa kila shule inaibuka na pre-form one.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya kukamilika kwa awamu zote tatu za udahili, Tume imepokea maombi ya kuongeza muda wa udahili kutoka kwa baadhi ya waombaji waliokosa udahili kutokana na sababu mbalimbali. Pia, Tume...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti hiii cause inahusiana na nini na application za kwenye maisha ya kawaida inatumika wapi. Naombeni ushauri apo jamani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa Pili, chuo Fulani kilichopo Dar es salaam. Kutokana na ukoseafu wa ajira ninao ushuhudia kwa baadhi ya wahitimu.. ( marafiki zangu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wazee wa tranter a.k.a redbook, sio mambo ya backhouse II
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Je kunautofauti gani kati ya bachelor of science with education (chemistry and biology) na bachelor of education in science ( chemistry and biology) katika upande wa job opportunities na upana...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari Kijana kachaguliwa Bachelor science in library and information management , - Tofauti na Library kunakazi gani nyingine anaweza fanya kupitia hii kozi Ugumu wakozi Soko laJira lipoje...
1 Reactions
26 Replies
39K Views
Jamani mwenye joining instruction kwa COED anisaidie
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Chuo gani bora kwa kozi ya bachelor of education special needs,,Kati ya Udom na amucta
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Samahani ndg zangu Nilikuwa naomba kuuliza kwa wenye uelewa na hili Jambo. Mimi nimemaliza form four mwaka Jana nikawa nimechaguliwa chuo kwenda kusoma course ya clinical medicine na tamisemi na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hello ,hope wote ni wazima Wa afya, Ningependa Tujuzane mengi kuhusu Hizi Carrier Mbili Kati ya Pharmacy na MD ni kozi Gan Ww unamshauri mwanafunzi Aliyemaliza Kidato cha Sita Na mwenye Ufaulu...
4 Reactions
23 Replies
7K Views
Wataalam nisaidieni,nadaiwa bei gani?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutokana na maswali mengi kwa wanafunzi wanaotarajia kuanza vyuo mbali katika jiji la Dar es salaam watakaotafuta hostel za nje pamoja na vyumba kwa wale wote watakaokosa au kutohitaji hostel za...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Naomba umweke mwalimu yeyote ambae ni mtambo wa physics kwa Tanzania yetu. Mimi naanza na; 1. MATHIUS MGONYA (Physics) huyu jamaa ni shida peleka swali kwake hautaamini huyu mwamba mbona hatari...
0 Reactions
89 Replies
14K Views
habari za wakati huu ndugu zangu,kama kichwa cha huu uzi hapo juu kinavyojieleza,tafadhali kwa wenye uwelewa wa hii kozi ya DIPLOMA IN TROPICAL ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION naomba kujuzwa kuhusu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina LA JMT Kama ilivyo kawaida kwa nchi yetu. ya Tanzania baada ya kumaliza kidato cha sits wahitimu hao wakike na wakiume hutakiwa kwenda kujifunza mafunzo mbalimbali...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
https://www.popularmechanics.com/science/math/g29251596/impossible-math-problems/ 1.The Collatz Conjecture 2.Goldbach’s Conjecture 3.The Twin Prime Conjecture 4.The Riemann Hypothesis...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom