Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kichwa tajwa hapo juu kwa wale wanafunzii waliofanikiwa kuchaguliwa TIA na wanatafuta vyumba kwa ajili ya makazii tuwasiliane 0765240743 WhatsApp na normal call ukiwa na shida nitafutee
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Karibuni wadau mliosoma au mnaosoma Open University of Tanzania Postgraduate ya Diploma in Education kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa msaada wapi naweza kupata mtu au organisations ambazo zinasaidia kutoa fee sponsorship kwenye vyuo..
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Natumai mko poa sana wakuu Kama kichwa cha habari hapo juu Ninaomba yeyote mwenye softcopy za C- Programming books aniseidie nizipate, nitashkuru sana Ahsanteni in advance.
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Habarini wakuu ,,nimechaguliwa bsc in chemistry @mwecau kataika fee structure yao kuna admission fee amabayo ni 3k na inatakiwa kulipwa unapofika chuoni je sisi tunaotegemea mkopo itakuaje...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ili upate mkopo lazima chuo kitume jina Lako na taarifa zako zote, sasa mimi wakati wa kuomba chuo nilikosea kujaza mwaka wangu wa kuzaliwa, aidha sikuwa makini au keyboard iliautotype. Sasa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kuuliza, hivi inawezekana kabisa mtu kujiinua kiuchumi kupitia boom? Yaani mtu akapata maendeleo kupitia boom??!!
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimejaribu ku upload form na 2 na 5 kwenye account yangu ya HESLB nikirudi kuview form hazionekani. Ni wapi nakosea? Maana hizi siku za kufanya marekebisho naona zinakimbia balaa
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Je, ni hatua zipi za kufuata ili kupata cheti kinachotolewa na nacte kama nimepoteza?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar zenu wapendwa, Kulingana na title hapo juu inavyojieleza ni kwamba kwa yoyote anayejua upatikanaj wa notes za Ordinary Diploma in Clinical Medicine either iwe n kwa njia ya magroups au...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarini wakuu Mimi ni muhitimu Wa kidato cha sita 2021 na kupata II ya 11 yaani Phy-D Chem-D Bio-C Je bsc in chemistry in course nzuri na marketable? Ushauri wenu kwa wenye uelewa nayo.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika mambo ambayo huwa siyasahau ni hili. Mama yangu ndugu zake kadhaa wamesomea udaktari. Na hata jina alilonipatia mimi nila baba yake ambaye mpaka sasa ni daktari. Lakini pia mara mimi baada...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wakuu naomba muongozo kwa hili swala la kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa je baada ya kuongwa muhuri Rita ni lazima kukipeleka mahakamani pia kiwekwe muhuri? Pili inakuaje mtu aliyethibitisha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habarini za wakati huu. Husika na mada tajwa hapo juu, hapo nyuma form yangu ya mkopo ilikuwa na shida, kuna sehemu ilikosewa wakati wa kuaply mkopo.( Yaani alijichanganya akaandika...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
HESLB Four Days For 2982 Applicants To Complete Loan Application Procedures The Higher Education Student Loans Board (HESLB) has given four days from October 4-7, this year to 2,982 students who...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Chuo cha Stella Maris kina hostel za kutosha wadau,na vp Mazingira yake kwa ujumla na hata hal ya maisha ya eneo chuo kilipo.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau nina ndugu kachaguliwa hizo kozi hapo juu ambazo ni BARCHELOR OF ACCOUNTANCY ya TIA Dsm na BARCHELOR OF ACCOUNTANCY WITH INFORMATION TECHNOLOGY ya IAA Arusha.So ipi ni nzuri...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nime apply Loan HESLB, nimeingiza namba za kidato cha nne vizuri kabisa lakini haijanipa jina la SHULE husika ila JINA LA MTAHINIWA limefika vzuri kabsa. Kwenye school nambe ndo shida imeandika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale mnaopenda kuelewa na kuchunguza mambo, hasa hasa kama ulisoma physics advance, Mimi ni msomaji mzuri wa vitabu, hii ndio starehe yangu, ila sikuwahi kujua kuwa PHYSICS ni somo tamu sana...
21 Reactions
81 Replies
6K Views
Back
Top Bottom