Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Best AEA for those courses,but it depends also with what you like, connection iliopo for such course.. EPP imebase sana kwene sera Sana(pure mchumi)) but AEA imebase kwene kilimo na biashara #kila...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nimechaguliwa UDOM EDUCATION (BED PPM) na IAA PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT nimeajiliwa, sekta elimu, ushauri Niende kozi ipi?
0 Reactions
7 Replies
997 Views
Poleni na majukum wakuu! Naomba kujuzwa kuhusu kufanya mtihani kwa reseaters wa kidato Cha sita hufanya masomo yote au hurudia Yale ambayo alifeli tu? Natanguliza shukrani!
2 Reactions
4 Replies
956 Views
Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
0 Reactions
5 Replies
883 Views
Habari za Asubuhi ndugu Wana JF, ni matumaini yangu mnaendelea vema kabisa na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu pendwa la Tanzania. Naomba kufahamishwa ada (Undergraduate fees) za Kampala...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu samahanini Nilikuwa naomba nieleweshwe course ya bachelor of information system kweny upatikanaj ajira na hata uwezekano wa kujiajiri binafsi!
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Wakuu samahanini nilikuw naomba ufafanuzi kuhusu bachelor of science in information system kwenye upatikanaji ajira na hata pia uwezo wa kujiajiri binafsi kama inawezekana?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavo jieleza apo juu, Kati ya hizo course mbili yupi ni mwalimu na tofauti yao ni ipi? Asanteni sana
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Msaada wenu wakuu maisha yamekuwa magumu sana hasa kuishi chuo hauna mikopo Msaada wenu wakuu kwa mliowahi kupitia mazingira haya. Niko Ardhi Bsc.AF.
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Mimi nimechanguliwa TIA (Human resource) na NIT (Procurement and logistics management) Naomba ushauri wenu kwa wenye uzoefu ni confirm wapi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kichwa cha habari chajieleza. Chuo Kikuu Mzume Faculty of Law, wameweka website, mle ndani wameweka list ya unreported cases ambazo hata hawajadigest (kama mendez anavyofanya). Huwezi amini...
0 Reactions
4 Replies
797 Views
msaada mtu anaconferm vp,?
1 Reactions
7 Replies
717 Views
Wapendwa katika bwana habari zenu, naomba ushauri wa kozi gani nzuri Kati ya bachelor of science in economic policy and planning ((inayotolewa mzumbe))VS agriculture economics and Agri...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
WATOTO WA MAMA NTILIYE UCHAMBUZI WA FASIHI SIMULIZI WATOTO WA MAMA NTILIYE KIPENGELE CHA FANI: 1. mwanafunzi atatakiwa kujibu maswali yatayohusiana na kipengele cha fani, 2...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
2015 nilimaliza form 4 pale Kawe Ukwaman sec Skuli nikaperform vizuri mshua akasema niende Advance maana result zilikuwa bomba Nikasema nipe hiyo Ela niende Veta Iringa mshua akatia ngumu mimi...
16 Reactions
33 Replies
4K Views
Miongoni mwa vitu vinavyoturejesha nyuma vijana katika maendeleo ni kukatishwa tamaa na watu tofauti tofauti na mda mwengine unaweza kuwa na wazo zuri mtu ukamuambia tufanye pamoja na hili...
1 Reactions
1 Replies
614 Views
nilisoma diploma ya uhandisi ujenzi muda kidogo sasa baada ya kumaliza na maisha kunichapa, nilijikuta nimeingia katika maswala ya uchimbaji wa dhahabu maporini katavi huko nilifanikiwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wadau Kwa Mwenye Maulizo Yoyote Kuhusu Course Ya Clinical Medicine (CO & CA) Usisite Kuuliza Hapa: 1. Admission 2. Modules 3. Mikopo 4. Life La Kitabu 5. Maswali 6. Ushauri 7. Msaada Wowote.
4 Reactions
210 Replies
38K Views
Nlikuwa naomba msaada kama kunamtu anajua wapi naweza kupata sponsorship ya ada chuoni..
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Maana ya Usimulizi Ni dhana inayoelezea utoaji wa habari au hadithi kwa kutumia mdomo au maandishi. Pia usimulizi huweza kuwa wa matukio mbalimbali kwa kuzingatia ufasaha wa Kiswahili yaani...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom