Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu habari! Nategemea kusoma short ya electrical installation, katika chuo cha veta kipawa... Kwa ngazi ya Beginner Intermediate na Advanced level Je, kwa packages hizo chini, nitaweza...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wadau naomba ushauri, kuna kijana wangu kapata division 3 yenye flat c tano za HGL, HGK atc lakini kachaguliwa kwenda Chuo cha Utumishi wa Umma cha Records Management-SINGIDA. Mnaushauri gani...
2 Reactions
38 Replies
10K Views
Kwa matokeo haya naweza pata chuo (EDE-hge) degree coz za biashara? Nmefany mtihan 2019, mwaka huu nmerudia economics can uhakika na matokeo yatakavyotoka mana pepa ilikaza sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini za leo wakuu, Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa. Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau naomba mnijulishe shule za private za A level zenye combination HKL au HGL au EGM zilizopo maeneo ya Moshi na Arusha. Natanguliza shukrani wakuu
0 Reactions
10 Replies
28K Views
Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma. Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Wenzangu nyie hali ikoje mnafanikiwa kufanya application NACTE?
1 Reactions
2 Replies
815 Views
Shule za msingi zinafungwa Leo, Niko hapa napitia mitihani na ripoti za wanangu! Kuna swali hili; Mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu anaitwa nani? Mwanangu kajibu MWAMUZI kakosa, eti mwalimu...
13 Reactions
144 Replies
12K Views
Habari Natafuta shule ya sekondari, ya day, nzuri inayofanya vizuri, iliyoko wilaya ya Ubungo au Kinondoni.. Please naomba kama unajua yoyote orodhesha hapa nione nafanyaje Asantee
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakubwa shikamoni wadogo wenzangu habari zenu mimi ni mwanafunzi wa uguuzi na ukunga katika ngazi ya diploma. Niliamua kusitisha masomo kutokana na kukosa ada ambayo nilijichanga kama kijana...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mnijuze wapendwa nataka kujua mfumo wa kuunganisha vyeti vya kidato cha NNE bado upo na kama upo naomba mnitajie sehemu usika nitakayosaidiwa. Asanteni🙏
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama mada inavyojieleza hapo juu, kwa tunaosubiria matokeo ya kidato Cha sita tunaomba mliopita/mliopo & mnaofahamu juu ya kozi mbalimbali vyuoni mtupatie ushauri kwamba kwa watu wenye division...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Kuna jambo la kielimu Hapa. Uchaguzi wa TAMISEMI kuhusu selection za Wanafunzi wanaoingia Kidato cha 5 una tuhuma nzito wadau wa elimu tupaze sauti: 1. Uchaguzi haujazingatia vipaumbele vya...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Je, inawezekana kubadiri shule ulopangiwa kidato cha tano?
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana-JF nimehitimu kidato cha 4 mwaka jana na nimepangiwa course ya secretarial studies ningependa kufahamishwa kwa wanaoielewa zaidi fursa zake katika kuajiriwa na kujiajiri n.k ntashukuru...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Idara ya elimu ya sekondari wanapashwa kuingalia shule ya sekondari miembe saba iliyoko kibaha mji, shule hii inazaidi ya walimu sabini lakini haina mafanikio ya kitaaluma hata kidogo, Walimu wa...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Naomba kupata maelezo ya ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar kwa wale wenye ufahamu. Aina ya course, malazi, uhakika, mkopo nk. Nina mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne, na kupangwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Mwaka huu nimepata interest ya Kuongeza shule, Nimekuwa na Maono ya kusoma Public health kwa muda mrefu kulingana na kazi nnazozifanya, Nimejaribu kuingia website ya MUHAS bado...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom