Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ushauri tu Kwa vijana au wenye ndugu walioenda JKT mujibu wa sheria kipindi mkiwa mnakaribia kufunga mafunzo kuna nafasi huwaga zinatolewa kwa wanafunzi waliofaulu hesabu “C” kwenda kufanya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu? Niende moja kwa moja kwenye swali langu,wakuu nina mtoto wa shangazi yangu yupo hapa kwangu, aliomba kusoma VETA kwa ufadhili wa ofisi ya waziri, lakini tokea afanye maombi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimechaguliwa kujiunga form 5 katika shule ambayo haikuwahi kuwa na advance, yaani ndiyo tunaenda kuifungua, ina 0 level ambao matokeo yao tu ya form 4 mwaka jana hayakuwa mazuri, haina walimu wa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua diploma ya uthibiti ubora shuleni inayotolewa na chuo cha Adem inakuwezesha kusoma degree yoyote hapa nchini maana nasikia tetesi kuwa haiwezeshi kusoma degree msaada tafadhali kwa...
1 Reactions
33 Replies
14K Views
Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi. Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Naomba kuifahamu kiundani hii shule. Je, mazingira yake yapoje na je ni rafiki kwa kusoma hasa michepuo ya sayansi? Vipi kuhusu upatikanaji wa hostels kwa wanafunzi? Historia...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau inakuaje? Ninapenda kujua chuo gani ni kizuri kinachotoa elimu nzuri ya Sheria 'coz mdogo angu anataka ajue mapema vyuo atakavyo-apply. Kaniomba nimsaidie alafu mimi sijasoma kozi kama...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Jamani na rafiki yangu ambaye anasoma chuo jirani na Mimi hapa Arusha yeye ilibidi aingie mwaka wa pili lakini lakini Kuna shida ilimpata ya masikio yaani kwamba masikio yaliacha kusikia miaka ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini!!! Siku za hivi karibuni nilikua ofisi za mfuko wa taifa wa bima ya afya nikishughulikia maswala yangu yanayohusiana na bima. Niliwakuta wanafunzi wa SAUT waliokua wakihuzunisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhali nisaidie : Mhitimu ambaye ana cheti cha kidato cha nne Div 1 pt12 ya pure science na cha sita Div 3 (PCB-EED) akiomba kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE say Clinical Medicine course...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Mwanangu amechaguliwa shule ya sekondary Chamwino Dodoma kidato cha tano naomba kupata msaada wa join instruction ya shule hiyo.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria...
1 Reactions
22 Replies
10K Views
Je unakuwa mwalimu au na unasoma masomo yote kwenye program iyo au unachagua naomba nielewesheni jamani
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hello hanari ya muda huu wadau? Naomba Kama kuuliza kama Kuna mtu ashawahi kusoma au ana uelewa wa hii course Forest Industries Technology, Je inahusiana na nini na baada ya mhitimu kumaliza kozi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
HESLB YATOA SIKU TANO (05) ZAIDI KUOMBA MKOPO Ni kuanzia Oktoba 1 hadi 5, 2020 Lengo ni kuwapa fursa vijana waliokuwa JKT kuomba Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawajulisha...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Anayejua kuomba chuo tena baada ya kutoendelea na masomo;na kurudia chuo cha awali inachukua muda gani?
1 Reactions
3 Replies
885 Views
Wadau nasikia kuna baadhi ya vyuo wamepunguziwa boom lao la mwsho kwa semester hii, hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli hizi pesa zinazokatwa na bodi kwenye booms za wanafunzi huwa zinapelekwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za mda huu wakubwa, Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza kutoa ufadhili wa nafasi zaidi ya 12,000 katika fani mbalimbali za ufundi stadi. Fursa hii tuichangamkie vijana. Fungua attachment kwa maelezo zaidi. Pia unaweza...
8 Reactions
70 Replies
11K Views
Back
Top Bottom