To effectively achieve the goals of an organization, people with the right set of skills and competence should be assigned to strategic positions at the right time and under the best suitable...
Habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.
wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA...
Jamani kwa yeyote mwenye details za Chuo cha Takwimu Changanyikeni Dar es salaam especially kuhusu course za masters wanazofundisha hapo. Naomba anisaidie nategemea kuaply for masters kwenye hicho...
Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama kichwa cha somo hapo juu kinavyoeleza naomba mnisaidie angalau aina tano tofauti za shahada ambazo nikizisoma hata nisipopata...
Nina binti amechaguliwa Mtwara TTC kwa hiyo nilikuwa napendelea nimuamishie mikoa ya karibu kwani mimi nipo Tanga na halafu ikishindikana nataka nithibitishe kwenye mfumo ila unagoma tangu Jana...
Kama kichwa cha habari kinavosema nilikua naomba msaada kuhusu hii course je PCB anaweza isoma na kama ndio ni chuo gani anaweza pata akiomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada mwenye joining instruction ya chuo cha Institute of Rural Development Planning - Mwanza anisaidie maana nimeenda selfom kwenye post za advanc na vyuo sijafanikiwa kuipata.
Wakuu habari zenu mimi nilifaulu kidato cha pili 2012 kwa wastani wa C je naweza kwenda chuo cha ufundi kusoma ili nifanikiwe kupata hata diploma na umri umekimbia ni miaka 24 sasa msaada kwa...
Hizi ni course za engineering zinazolipa/ziko moto kwa TANZANIA...hizi course ni 1.AGRICULTURE ENGINEERING 2.IRRIGATION AND WATER RESOURCE ENGINEERING 3.BIO-PROCESSSING ENGINEEERING zote hizi...
Habari wadau,
Nina mdogo wangu wa kike ameona aombe kusoma open university lakini kutokana na mkanganyiko uliopo inamletea shida ni kozi ipi asomee Kati ya hizo mbili hapo juu na nyengine ya...
Wakuu habari zenu,
Mimi nilifaulu kidato cha pili 2012 kwa wastani wa C je naweza kwenda chuo cha ufundi kusoma ili nifanikiwe kupata hata diploma na umri umekimbia ni miaka 24 sasa msaada.
Kwa...
Kutokana na taharuki kuzidi kuendelea hapa nchini kuhusiana na ile issue ya kidato cha tano ni vyema wizara husika ikawajibika kwa hilo.
Vile vile ni vyema ikafumuliwa kabisa kama ilivyofanyika...
Habari Wakuu.
Nahitaji Mwalimu kwaajili ya Shule ya Watoto wa English Medium School.
SIFA:
1. Awe amesomea na kufuzu mafunzo ya Ualimu
2. Awe mchapakazi
3. Awe na uwezo wa kuzungumza vizuri...
Habari za jioni,
Nilikua naomba msaada kwa mtu anaejua kuna mdogo kapata III ya 25 lakini selection zimetoka ajachaguliwa kwenda chuo au advance wakati kunawenzie wana alama kama yake na...
Sera hii ya elimu bure haitufai watanzania eidha hatujafikia hatua hiyo kutoa elimu bure au elimu haipewi kipaumbele.
Taaluma imekufa watoto wamrundikana madarasani Tena wamekaa chini, mwanzo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.