Sioni tatizo wanafunzi wa UDSM wakitembea na ID zao jiji zima
What is the point of university of Dar es Salaam if they don't?
Na mtuache kutupiga piga na mawe kwani hakuna Miti mingine yenye...
Kama kilivo kichwa cha habari hapo juu naomba kuuliza hivi kozi ya Tourism kupata mkopo ni uhakika Degree? na je kama jina la kitambulisho cha Mzazi yani Baba jina lake spelling ni tofauti halafu...
Kama kilivo kichwa cha habari hapo juu naomba kuuliza hivi kozi ya Tourism kupata mkopo ni uhakika Degree? na je kama jina la kitambulisho cha Mzazi yani Baba jina lake spelling ni tofauti halafu...
Hellow wadau wa Jukwaa la Elimu.
Naomba kujua timetable ya watu wanaosoma Evening Masters Programme CoICT au College yoyote ya science hapo UDSM.
Masomo huanza saa ngapi na kuisha saa ngapi na...
Nimesoma ukurasa wa Malisa huko Instagram akijaribu kumtetea mwalimu mmoja mwenye elimu ya juu kabisa kiwango cha Masters, lakini mwalimu huyo bado analipwa mshahara wa elimu ya Certifacte hadi...
Habarini wakuu wa JF.
Leo nimemkubuka Mwalimu wangu na kwa wengine ambae ni bora kabisa katika kizazi hiki na kijacho.
Huyu si mwingine ni Ngaola au ukipenda muite Moddy Physics/ Commissioner...
Jaman naomben msaada kwa anae jua maeneo ya field apa Dar. Mimi nasoma mechanical Engineering Diploma DIT ndo niko mwaka wa kwanza nlikua naomben msaada wa kuelekezwa maeneo ya kwenda ku apply Field.
Mama Samia aangalie suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma maana elimu ya diploma ni taaluma ile tena taaluma nyingine za diploma zina tija kuliko hata za degree.
Aangalie mfano chuo cha...
Niimemaliza degree ya elimu natamani kujiendeleza kielimu ili niweze pia kuhama carrier hizo course tajwa ndion kipaumbele changu. Naomba msaada wa ipi ni sahihi kuisoma au kama kuna nyingne...
Hellow wana JF nilikuwa naomba tueleweshane na kujuzana kuhusu ili.
Tukiangalia Tanzania inazidi kujua ila na kauli mbiu ya Tanzania ya viwanda sasa swali langu lipo hapa.
Hivi kwa mtu anayesoma...
Habari wakuu,
Leo nimeona niwaletee app kutoka Google Playstore ambayo naamini itawasadia kwa namna moja au wale wanaotafututa nafasi za kusoma vyuo vya nje ya nchi katika fani mbalimbali na ni...
Habari za leo wakulungwa.
Kwa anaefahamu shule maalum ya wasichana manyunyu iliyoko wilayani Njombe
SHULE HII NI BWENI AU KUTWA
MAZINGIRA KWA UJUMLA
UFANISI KIMASOMO
nawakilisha
Hivi ukitaka kumhamisha kijana wa kidato cha kwanza kutoka shule ya kutwa ya serikali kwenda shule ya bweni ya serikali iliyopo mkoa tofauti unafuata procedures gani?? Mwenye anajua anisaidie apa...
Habarini wanajukwaa la elimu.
Kumekuwapo na sites nyingi sana na scholarship za wazi kwa ajili ya wanaotaka kusoma masters au phd na imekuwa wazi kweli kwa maana hata upatikanaji wa habari zake...
Wadau naombeni msaada mwenye kujua au idea yeyote juu ya hili swali la kitakwimu mawazo yenu tafadhali.
"Identify and Explain two aspects that official statistics addresses."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.