Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Enzi hizo Iyunga ilikuwa kama kambi ya JESHI. Viongozi wa shule waliitwa Rais na Mawaziri Kura ilipigwa kwa Rais tu, Na Rais aliunda Baraza la mawaziri. Hakukuwa na neno kiranja yaani Prefect...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalam, Hili swali limekua nikijiuliza miaka mingi mno lakini sipati majibu haswa ni nini walidhamiria wizara ya elimu. Hivi kwa wanafunzi wanaosoma shule zenye michepuo ya ufundi kama Ifunda...
1 Reactions
1 Replies
767 Views
Kwa wale Ilborins Mnakumbuka hii Misamiati jamani? KITEI = Kipunga Iva Tule Elimu Inatungoja (Wali) CHUI = CHUkua chako Iboru (Ugali aka Bondo) SUMU = Haya yalikuwa Makande Half Life = Jina...
4 Reactions
282 Replies
58K Views
Elimu siku hizi ni ile bora ni graduate mjomba atanisaidia nipate kazi. Kwanini nasema hivyo, nimeenda na kuona interview nyingi sana baadhi ya wahitimu wanaokuwa wamemaliza hawana uelewa wa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari ndugu wana Jf, Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii. Asanteni
1 Reactions
5 Replies
5K Views
How can blog social media or social network is instant messaging and VoIp media can used for business activities
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Hii kozi ni nzuri inawaandaa viongozi wa Elimu. Nawasifu Maprofesa walioandaa kozi hii. Kiongozi yoyote wa elimu ambaye hajasomea kozi hii lazima ataonesha mapungufu tu katika utendaji wa kazi...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza Jamani ndugu wanaJF nilikua naomba ushauri jinsi gani nitaweza kuovercome hi depression na hii combination mana hata nikisoma naona Mambo yanaenda...
7 Reactions
63 Replies
9K Views
Wakuu ni kwanini hizi shule wanazojifunza kwa kutumia kiingereza huwa hamna viboko? Inamaana ukiwa unajifunza kwa kiingereza unaweza kwenda bila viboko? Nidhamu ya wanafunzi wanaosoma hizi shule...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Write your story about time when you had difficulty dealing with someone and how did you handle situation?
0 Reactions
9 Replies
766 Views
Wadau Mimi ni mwalimu.mwaka huu wa masoma 2021/2022 nimepanga kwenda masomoni,naomba ushauri wenu kwa upande wa education Kuna course gani nyingne nzuri tofaut na hizi ,BAED art au BAED science,
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamuhuri ya muungano wa Tanzania... Natumai muazima wa afya nisiwachoshe tusichoshane shida yangu Mimi nahitaji masomo ya mtandaoni Kati ya masomo hayo IT na kingireza kisikose. Shule nilikimbia...
1 Reactions
1 Replies
804 Views
poleni na maombolezo ya siku 21 na heri ya sikukuu ya pasaka. tupige story kidogo. tuliosoma primary school na sekondari miaka ya 80 mpaka 90 tumeshuhudia mengi sana ya kusisimua. moja ya visa...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Write your story about time when you had difficulty dealing with someone and how did you handle situation?
0 Reactions
5 Replies
531 Views
Habari wanajamvi! Leo nimekumbuka maisha ya shule ya Lomwe pamoja na shule jirani kama Shighatini,Kiriki na Minja. Naombeni tujikumbusheni kidogo kipindi hicho.
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Wana Jukwaa; Sikumbuki heading yake wala mtu aliyeyaandika maneno haya. Nimejaribu kusoma post ile ya "LIFE AFTER DEATH", ikanichanganya, nikaona nirudi kwa huyu bwana, aliyewahi kuandika maneno...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mambo vipi wanajamvi? Tasinia ya IT (Information Technology) au TEHAMA kama alivyonikaririsha mwalimu wangu Mzee Malima wakati ananicholea CPU kwenye ubao. Niliipenda hivyo hivyo japo...
8 Reactions
81 Replies
6K Views
chuo kikuu flani cha dini nyanda za juu kusini katika kukamirisha final year project, Department ya BSc imeamua kutaa kabisa project title zinazoonekana kuwa simple na easy ; ( management system...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna dogo alimaliza kidato Cha nne Alipata ufaulu ufuatao HISTORY:-D GEOGRAPHY:-C KISWAHILI:-C ENGLISH;-C CIVICS:-C BIOLOGY:-F MATH:-F LITERATURE:-D JE ANAWEZA KUSOMA HGE KAMA SCHOOL CANDIDATE
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kama kawa tunaendelea kuwapata madoctors hapa Bongo. Open University nao kwa kufuata wenzao wa Mlimani wameamua kumtuza Mzee Ruksa lidigrii la Udaktari. Kwa maelezo zaidi bofywa katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom