Idara zengine ni neema kila kukicha. Elimu kuna shida gani? Unafanya kazi karibu miaka 10 hakuna kupanda cheo? Tatizo lipo wapi na nchi yetu ni Tajiri?
Habari za muda huu ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo.
Ngoja nianze kwa maelezo mafupi kwanza nilimaliza A level - PCB miaka miwili iliyo pita na matokeo yangu hayakuwa mazuri kijumla nilikuwa...
Habari,Mimi ni kijana ninayesomea diploma ya ugavi na ununuzi kutoka chuo cha uhasibu Tanzania(TIA). Ifikapo tarehe 1/8/2021 tunatakiwa kuanza kufanya field(masomo kwa vitendo).
Hivyo naomba...
Ndugu zangu, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,
tokana na ukuwaji wa teknolojia ulivyo hivi sasa , Mimi pamoja na walimu kutoka katika shule mbalimbali bora Tanzania (Top 50...
Hivi ni kwanini Serikali na jamii isiruhusu watu wa jamii ya Rasi (Rastafari) kuruhusiwa kusoma na nywele zao hasa katika ngazi ya elimu ya chuo? Waruhusiwe kusoma na kupractise medicine (...
Pana chuo tanzania kinatumia mfumo wa Semester?
Yaani kila semester pana wanafunzi wanaojiunga, na wanafunzi wanaohitimu. Masharti ya kuhitimu ni kukamilisha masomo fulani. GPA ni ya masomo, siyo...
Wakuu heshima yenu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.Naomba kujua chuo kinachotoa certificate ya pharmacy ONLINE hapa tanzania.Mimi ni mwajiriwa wa serikali na nahitaji kusoma hii course...
Ndoto yangu ya kusoma degree yangu ya kwanza Mlimani ilianza nikiwa shule ya msingi.
Nilikua nikisikia tu story kutoka kwa dingi akisimulia mandhari na elimu ya pale Mlimani pindi wanasoma.
Basi...
Hi! Habari kama kichwa ninavojieleza hapo juu.
1. Mhitimu wa diploma ya Nursing anaweza ku specialize nn kwa upande wa Bachelor masterz, etc
Kwa yeyote mwenye ufaham unaweza kuchangia.
Habari wadau, mko poa? Naomba kujuzwa machache kuhusu chuo kikuu hulia cha Tanzania , nahitaji kujiunga na Undergraduate programme je mihula yake ipoje? Inaanza mwezi 11 Kama vyuo vingine vya Tz...
Habari wanajukwaa,
Naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye uzoefu wa kuwa tutor (kwa somo lolote) mtandaoni; hususan kufundisha Kiswahili kwa watu wa nje.
Ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia?
Asante.
Ndugu wanajamvi kuna jambo linaniumiza kichwa sana inakuwaje kila siku vyuo vyetu watu wanagraduate na wimbi la ukosefu wa ajira likiongezeka huku tukishudia kila siku tunasema hatuna wataalamu na...
Wanangu kuna mchongo nimepewa wa kihasibu ila sasa mie sijui chochote kuhusu Tally, Entry ni chache about 15-17 kila mwaka.
Kampuni ni ya supplies kwenye maofisi hasa mahospitali. Wana supply...
Kuna utata katika majina ya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere na Dr.Mosses Kusiluka wa Ardhi University. Hili suala linafaa kuchunguzwa kwani Dr.Magoti wa Mwalimu Nyerere Academy ameoa nyumba...
Shule ya Eagles (S.2397) imepata kibali cha kufundisha Tahsusi mpya kabisa ya PMCs ambayo inategemewa Mtihani wa kwanza kabisa ACSEE utafanyika mwaka huu.
Haya ni matokeo ya juhudi za muda mrefu...
Jamani naombeni mnisaidie namtafuta mwalimu wa Kunifundisha English so that i can speak fluent English.
its very urgent i need teacher to teach me fluently English. Niko tayari kwa malipo ili...
Wadau nilikuwa nauliza ivi inawezekana mtu kumaliza form four na akaenda kusomea diploma nje ya nchi.. Au ni tanzania pekee ndo inatoa elimu kwa ngazi ya diploma.. Na je mtu akitaka kusoma nje ya...
Wanazuoni habari!
Samahani naomba msaada kwa wenye uelewa kidogo na Elimu itolewayo katika vyuo tajwa hapo juu. Ninaomba kufahamu sifa za msingi za kuwa mkufunzi wa vyuo vya ualimu whether...
Sina uwezo wa kucompare vyuo but kati ya vyuo ambavyo zinatoa taaluma ambazo hutaweza kujutia ukishagraduate..pia kuna course nzur 2 ambazo watu hawazijui..course kama archtecture, geomatics...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.