Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana jf naombeni kwa yeyote anaejua au anaesomea au aliesomea diploma ya ualimu wa sayans sekondar anitajie vyuo vya private vinavyotoa hyo kozi.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina div. 2 ya pcb ya mwaka 2016. Natafuta chuo wanachofundisha diploma ualimu wa sayansi. Je nitapata wapi chuo na je nitakubaliwa? Msaada plz
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za mchana ndugu zangu. Naomba MSAADA wa yeyote anaefahamu chuo kinachotoa certificate ya medical lab chenye GHARAMA nafuu ili niweze kumpeleka ndugu yangu. Kwa mwenye kufahamu anitajie ila...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
2020-10-13 18:01:04 Image:Facebook.com As times is moving forward, so the technology is also introducing more effective and efficient solutions. However technology advancement brings about...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ni kutokana na kuongezeka kwa tahususi tano kama ilivotangazwa na aliyekuwa Waziri wa tamisemi seleman jaffo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, naomba niende kwenye mada yangu, kumekuwa na matamko ya maafisa elimu(DEO's AND REO's ) kwamba kufikia mwezi wa sita waalimu wawe wamemaliza SYLLABUS na huwa wanaenda mbali zaidi...
1 Reactions
0 Replies
621 Views
Jamani naomba msaada wen, mdogo wangu wa kike amechaguliwa kozi mbili kujiunga elimu ya chuo kikuu. Moja ni Bachelor of science Food science and technology SUA morogoro na nyingine ni Bachelor...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Hii ni baada ya tamko rasmi kutoka kwa aliyekua waziri wa Tamisemi, Selman Jafo
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mdogo wangu kapafa four ya 26 Ana "F" ya Phy na Math pia Ana "C" ya history na Kiswahili, masomo matano yaliyobaki naomba ushauri tufanyeje. Naombeni ushauri.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam Wakuu..!! Naomba kufahamishwa kama kuna shule ya A-level ya Private yenye mchepuo wa CBN - Chemistry, Biology and Nutrition ili niweze kumpeleka binti yangu
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Poleni na msiba wakuu wa Rais wetu ngangari ndugu JPM, tuliumbwa na Mungu na kwake tutarejea. Moja kwa moja niende kwenye mada. Nasoma ordinary diploma in pharmaceutical science chuo kimoja...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni kozi ipi ni nzuri: Clinical medicine (clinical officer at graduation) au Diploma in Nursing. Wengine wanasema Clinical medicine ni vigumu kwenda Doctor of medicine (MD), while for Nursing ni...
1 Reactions
15 Replies
12K Views
Wakuu mm ni graduate wa chuo flani hapa tz. Kama ilivyo ada pale mtu anapohitimu level flani huwa anafanya sherehe kwa ajili ya kujipongeza kwa kumaliza hatua hiyo mujarabu kabisa. Mimi katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natanguliza salam zangu kwenu:ombi langu kubwa nikuwa mm nimuhitimu Wa certificate of account nahitaji kubadili niweze kusoma diploma ya nesi je nifanyeje kuweza kukamilisha hilo maana vigezo...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari ya muda huu ndugu mkereketwa wa JF, Nikiwa mmoja wa wanachuo tunaojiandaa kwenda kufanya mafunzo ya vitendo (field or practical training) mwaka huu mnamo Julai, nimependezwa mno kurudi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ELIMU BURE IONDOLEWE, WATU WAANZE KULIPA ADA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Hakunaga kitu cha bure kikawa na thamani, sijawahi kuona popote pale tangu nimezaliwa; hivyo ndivyo naweza anza makala...
11 Reactions
78 Replies
7K Views
Wakuu kwema..!! Nina Kijana wangu anatarajia kwenda Form V mwaka huu sasa anataka kusoma mchepuo wa CBN yaani Chemistry, Biology na Nutrition. Mwenye ufahamu wa shule ya private inayotoa mchepuo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Huwa najaribu kutafakari, kuongezeka kwa wahitimu hasa wa elimu ya juu ambao hawana ajira (kuajiriwa/kujiari). Kunatoa picha gani kwenye ubora wa elimu yetu kwenye kupunguza kiwango cha...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Back
Top Bottom