Habari za kutwa Wazee wa jukwaa. Ninaomba kwa anaye faham shule nzuri ya kiislam kwa mtoto wa kike. Mwanangu anategemea kuanza darasa la kwanza mwakani panapo majaaliwa.
Nimefikiria swala la...
Kwa kutambua umuhimu wa kundi la Vijana, ambalo ni takriban asilimia 60 ya idadi ya Watanzania wote.
Serikali na wadau mbalimbali wamekuwa mstari wa mbele kulisaidia kundi hili muhimu.
Kwa sasa...
Nimehitimu Elimu ya kidato cha Sita kwa ufaulu wa Dvn 1.7 nikapata Chuo cha Dar es salaam kwa Programme ya Archaeology ningependa kusomea programme nyingine kwa ngazi ya Masters
Sent using...
Hakuna atakayekuja chumbani au mezani kisha akakulazimisha kuelewa unayojifunza darasani kwa ngazi yeyote uliyopo.
Vema ukajitambua aina ya usomaji ulionao ,Kwa maana ni kwa njia ipi unaitumia...
Kuna siku nimekutana na kijana mmoja ambaye amekuwa akifanya vizuri katika tasnia ya habari na utangazaji.
So wakati tunazungumza akanieleza miongoni mwa sababu zilizomvutia hata akaamua kuchukua...
Amani ya Mungu iwe nanyi ! Katika Jukwaa hili la elimu yanayo jadiliwa na kufafanuliwa na kuandaliwa makala ni yanayo tokana na Elimu makhsusi au Elimu yeyote tu?
Habarini ndugu zangu,
Kwa majina naitwa Ellyskywilly, nimeandika uzi huu maalum kuelezea 10 biggest Oil and Gas industry contractors.
Nitaomba kutumia lugha ya kiingereza kwasababu itakua ni...
Niliapply chuo dirisha la pili pale SUA ila mpaka selection zinatoka sijapewa ujumbe wowote zaidi ya ule wa mwanzo kabisa nilipo submit application.
Sasa nahisi itakuwa nimekusa nafasi kwa ile...
Wakuu, nilitumia mtu kuomba chuo second round, akakosea kozi ya kwanza nliyompa na nimechaguliwa hiyo hiyo hapo udom.
Nimejaribu ku cancel pale inagoma. ..msaada wa namna bora yaku cancel ili...
Tuko kwenye vimbweta vya chuo hapa tunapiga story mbili tatu, mara ubishi ukazuka, na ubishi wenyewe ulikua ni kati ya bcom in accounting ya udsm na BAF ya Mzumbe ipi iko poa sana katika job...
Habari zenu.
Kwa waliopata admission letter, tunaomba watueleze maana wengi wetu account zetu hazioneshi namna ya kupata hiyo joining.hata kwenye hiyo selection status hakuna maelekezo, help desk...
Wapendwa mwenye kujua St Francis college of health and allied sciences wasifu wake atusaidie maana leo mwisho. Is it worth studying medicine? Hali ikoje in general with regard to student life...
MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA
Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na...
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kufungua kwa awamu ya tatu ya udahili wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2020/2021 utakaokuwa kwa siku tano kuanzia Oktoba 30 hadi Novemba 4...
Hivi kuna uwezekano wa kupata nafasi za masomo A level kwa shule za dar es salaam ambazo zina ada nafuu kwa wanafunzi wa day na kama itakuwepo nahitaj kuzifahamu
Habari ndg. zangu!
Naomba msaada kwa mtu mwenye mawasiliano ya Watanzania fulani waliosomea China walianzisha magroup ya whatsapp kutoa msaada namna ya kuomba Chinese scholarships kwa mwaka jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.