Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) Leo imetangaza kufungua kwa dirisha la awamu ya tatu(3rd round selection) la udahili wa wanafunzi vyuo vikuu Tanzania. Note: Ni nafasi Nzuri kwa waliokua...
1 Reactions
0 Replies
717 Views
Straight to the topic. Ninaomba namba za simu za shule husika hapo juu. Nimejaribu kuangalia kwenye mtandao nikakuta namba mmoja ya land line na mobile numbers but they don't seem to be current...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Niliomba vyuo viwili Must na Marian unversity,Marian wamenchagua ila Must wako kimya!!! Mwenye uelewa aniambie jins ya kutambua kama nna multiple selection ili nijue. karibun
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mtu mwenye uelewa juu ya hilo naomba ansaidie. Nimechaguliwa pale kwenda kupga Bachelor of Science with Education, naomba anaejua ada ya hii course kwenye hiki chuo ansaidie!!! Karibuni wadau
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi kwa wana Jf wote. Niende moja kwa moja kwenye topic. Je, kama unasoma chuo na unataka kughairisha masomo kwenye chuo husika inawezekana? yani iwe hivi unaweza ukaacha chuo unachosoma nakuenda...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hivi ukitaka kuwa Afisa Kilimo na Bwana Shamba ni course gani unapaswa usome?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF vipi, Chuo gani bora kozi ya Accounts & Finance kati ya TIA na IAA (Arusha). Napata shida kuchagua. Maoni yenu yanahitajika.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakiosubiria kwa hamu selection za NACTE tayari wameshatoa post ila naomba kushauri kitu. 1. Kwa wale waliobahatika kuchaguliwa katika chuo fulani hongereni sana kwa kupata nafasi hiyo nyeti...
3 Reactions
38 Replies
11K Views
Habari ndugu zangu,....mimi ninaomba kwenu mchango wa mawazo kulingana na hali hali halisi ilipo kwa sasa , je nikozi gani ambayo mtu mwenye ufaulu alama D 4, ambazo ni kwa masomo ya Art isipokuwa...
1 Reactions
21 Replies
15K Views
����..nikiwa nimejipumzisha chumbani kwangu,chumba ambacho kipo mahali ambapo kwa lugha ya wenyewe tuyaita �Hostel�,ghafla mlango ulifunguliwa kwa kasi ya ajabu,akaingia rafiki yangu ,kabla...
4 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu nauliza je, kuna kamusi ya swahili to English au English to Swahili inayo tafsiri Sentensi nzima? Kama kuna anae jua anisaidie ikibidi aweke kiunganishi. NB: kamusi hiyo iwe kwenye app...
1 Reactions
6 Replies
945 Views
Wakuu Wasalaam Mimi ni kijana, niliyemaliza kidato cha sita, na nimepata bahati kubwa ya kuchaguliwa miongoni mwa vyuo bora hapa nchini UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, katika kozi ya POLITICAL...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwa waombaji Wa vyuo, be informed that the second selection, imesogezwa mpaka tarehe 29/10/2020
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau, Nimechaguliwa chuo zaid ya kimoja yaan DUT na CBE ila nimetumiwa sms ni confirm chuo kimoja ninachokita kupitia code number kupitia account cha chuo ninachokitaka. Pia kuna chuo...
0 Reactions
51 Replies
42K Views
Habari yenu waungwana! Naomba kujua utofauti kati ya hizi certificates,(Technician certificate and basic technician certificate).Ni ipi inaanza kati zote mbili...!
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habarini wakuu... Naomba msaada... Ratiba Ya vipindi vya jioni kwa masters Udsm ipo vipi (project planning and management) ? Vipindi vinaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi, huwa vipo kila siku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nmepata mshangaoo mkubwa kwa waloapply chuo kikuu mwaka huu wakitokea diploma...weng wametemwa ingalii wana gpa kubwa na nzurii....shida ipo wap kwa wenye mawazoo ya kuwafariji hawa ndugu zangu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau wa elimu, Naombeni kupewa utaratibu wa kurisiti kwa sasa mtihani wa kidato cha nne.Mimi nilikuwa naujua utaratibu wa zamani ambapo mtu alikuwa akirisiti mitihani idadi anayoitaka ili...
0 Reactions
33 Replies
22K Views
Sorry , naomba kuuliza kwa wale mliochaguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021. Mnaanza kuripoti lini chuo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom