Naomba ushauri wa kujiendeleza kwa mtu mwenye fani ya stashahada ya uuguzi na ukunga na fani hiyo ya kujiendeleza iwe tofauti kabisa na career ya uuguzi au ukunga
UDSM:Information on Issuance of Admission Letters to Students Admitted at the University of Dar es Salaam for the Academic Year 2016 /2017
Rasifa Tanzania iko nawe kila wakati,hili ni tangazo...
Naomba kunisaidia hili swali linataka nini.swali ni hili relationship between partnership and sole proprietorship and how their operation depend on each other
Habari waungwana,
Baada ya kuona threads nyingi za watu wakiomba ushauri na miongozo juu ya kozi mbalimbali na uwezekano wa wao kudahiliwa katika vyuo vya ndoto zao, nimeona uzi huu ukutanishe...
Wana JF, Natumai mko poa!
Kuna rafiki yangu amepata admission MUST lakini akiingia kwenye account yake haoni andishi lolote! (kwasasa, alipokea ujumbe wa kufanikiwa kupata admission pale). Je...
Naomba kuliza wadau,
Hivi kati ya hizi kozi, ipi ni nzuri sana?
Procurement and Supply, Accountancy and Finance, Taxation, Information Technology (IT)
Na je, ni kwanini unadhani ni nzuri?
IFM mpaka leo bado hawajapeleka majibu ya Diploma kwa waliopata sap na matokeo yametoka toka tarehe 3 mwezi huu wa kumi sijajua sababu nini lakini ukiwauliza wanasema watapeleka wakat dirisha la...
Habari wana JF,
Naomba kuuliza qualification ya kufundisha ngazi ya Diploma ya Afya (eg.Pharamacy, Medicine or Medlab). Je, unatakiwa upate GPA ngapi kwenye Bachelor holder yako ili uweze kukidhi...
Wakurugwa naomba kuuliza Mimi ni mwanafunz ninayeingia MWAKA Wa pili sasa MWAKA Jana sikupata loan HESLB lakin MWAKA huu NIMEOMBA TENA JE NAWEZA KUPATA?Je kuna continues student ambaye alishawah...
Salaam
Tumejadiliana kwenye magroup ya WhatsApp tukalifikisha kwa waratibu na maafisa wa elimu kisha tukalifikisha hadi kwa wadhibiti ubora wa elimu (wakaguzi wa shule) lakini kote huko ngoma...
Habarini za leo ndugu na marafiki.
Uzi huu utakua maalumu kwa maswali na majibu, ya science, engineering, accounting na management.
Nimeandaa maswali na majibu mengi tu ambayo yanafaa kwa uma...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuhusu taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na utaratibu wa kupata majibu ya maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
Habarini wanajamvi,
Huu ni mtandao bora sana kwangu since I joined , hapa huwa napata nondo sana.
juzi kuna mtu alianzisha topic kuhusu kuto kuona majina ya walio chaguliwa diploma, Mimi ni...
Tuliokua tukisoma kuvunja historia ya Lipumba but tukaambulia one kali za EGM.
Kwa mtazamo wangu watu kama Lipumba na Martin Chegere wamechangia sana kuinspire na kufanya wanafunzi wengi wa EGM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.