Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana jf mimi nimepata division 4 nahitaji nikasome kozi ya afya, Je clinical medicine imausu
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Ninaomba kujuzwa je GPA 2.6unaweza soma master ya education either kupitia Open university au kupitia vyuo vya kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne. Nimepata D - 5 zote za Sanaa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu inasemekana ku graduate masters hapo UDSM hasa college ya social science ni vigumu sana.inasemekana pia tatizo ni kwenye research.Inasemekana completion rate ni chini ya 5%.yaani kuna...
6 Reactions
132 Replies
24K Views
HESLB Certificate of Recognition: We are honored to receive a certificate of recognition from Higher Education Student Loans Board (HESLB) for the role and consistent improvement in the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu..... Ipo hivi kuna dogo kamaliza form 4 last year alipata div 4 ya 26.... Sasa kaomba kozi vyuo vya serikali kachaguliwa asomee udaktari wa wanyama.... Bahati mbaya mi...
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Deadline ya kuconfirm NACTE chuo utakachoenda kwa hii round ya kwanza ni lini? Na je, naconfirm kwa kutumia website yao au vip?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahan ndugu zangu, hivi kama umeapply diploma halafu ukachaguliwa vyuo zaidi ya kimoja unatumiwa code ili uconfirm kimoja au inakuaje? Na je kama kuna kuconfirm alafu ukashindwa kuna shida?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dogo amechagulia SUA Bsc.Human Nutrition, ashapewa hadi admission letter, sasa yeye hataki, anataka MD, ameamua kuapply tena vyuo vingine kujaribu kuomba MD, sasa je hii inaweza kusababisha SUA...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wafanya biashara wengi duniani wao wanaamini kipimo sahihi cha mtu kufanikiwa kibiashara ni MIAKA KUMI hivyo ukikosea kucheza karata yako vizuri leo ukiwa kijana maisha yako yajayo uzeeni utakiwa...
2 Reactions
2 Replies
841 Views
Darasa la saba wamemaliza mitihani yao mwisho. Hongera kwa watoto wote na pia wazazi na walimu. Hongera kubwa kwa jamii yote iliyowapa nafasi watoto kusoma kwa utulivu. Wazazi wengi watakuwa busy...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
At the end of this message you will have two choices! What will you do? ...you make the choice.?? Don't look for a punch line, there isn't one. Read it anyway. My question is: Would you have...
1 Reactions
0 Replies
456 Views
Mzee wangu amenichagulia nikasome University of Iringa Je? wapo vizuri kwenye utoaji Elimu ya IT, na chuo nicha serikali au binafsi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kweli mtu akimaliza diploma ya CO anaweza kusoma degree hii?ni miaka mingapi na vyuo vinavyoitoa vpo vngapi Tz.?msaada
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni wapi naweza kupata kamusi za kidijitali kwa viziwi ambazo zimezinduliwa siku chache na wizara ya elimu? Na zinauzwa shilingi ngapi?
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Nmetumiwa admission documents laikini admission letter sijatumiwa Niki click sehem ya download admission letter zina open other admission documents na sio admission letter, chuo ni muhas , msaada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari zasaizi, naomba msaada juu ya faculties tajwa hapo juu. Zinginezo ni Bachelor of Commerce in Banking and Financial services, Bachelor of Commerce in Tourism and Hospitality...
0 Reactions
86 Replies
9K Views
Habari za muda huu wana JF, Naomba kujulishwa kuhusu usafiri wa kutoka DAR mpaka Chuo Cha Ualimu Vikindu,nauli ni kiasi gani na magari yanayoelekea wapi natakiwa kupanda? Pili,kama kuna mtu...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Ndugu, mbona kwenye account za SUA hawajaweka comment kama mwombaji amepata au la?
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimechaguliwa SUA lakini nipo kwenye multiple selection, nataka ku-confirm SUA lakini confirmation code sijatumiwa, nawezaje kuipata hiyo confirmation code? Na mwisho wa ku-confirm ni lini?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom