Habari wakuu?
Naombeni ushauri wenu, mm nimesoma FTC or ordinary diploma in Mechanical Engineering under government spornsership ! Sikupitia advance
Lakini nilipokuja mtaani nakuona hali ilivyo...
Habari zenu wanna jf.
Nina diploma ya accounting nimepata kazi ila sina cheti cha form four. Mwenye mdada ninapoweza kukipata anijulishe plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hii kozi ya cellular phone maintenance inayotolewa na veta kwa miezi mitatu kwa upande wa software na hardware, sasa je swali ni hivi, kuna uwezekano mtu ukajua software na hardware kwa miezi...
Amani iwe kwenu!
Wakuu, natafuta nafasi ya Kidato cha Tano kwa shule binafsi ya Wasichana kwa tahasusi ya EGM.
Shule iwe katika moja ya mikoa ya Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro, Tabora au...
Habari za muda huu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ningependa kufahamishwa utofauti ktk hizo engineer na jinsi unavyoweza pata ajira either kwa kuajiriwa au kujiajiri
KODI YA ZUIO NI NINI?
(Withholding Tax) Ni kiasi kinachokatwa wakati malipo yanapofanyika kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
"Eng Evans amepanga nyumba kwa Bw. Noah kwa ajiri ya kufungua...
Watoto ama wanafunzi wanaosoma English medium school kichwani hamna kitu wanachojua ni kuongea kiingereza tu...
Ila other subjects nothing kabsa yaani hata wa shule za kata bora wana uelewa mkubwa!
Msaada jamani kulingana na kusoma huku nafanya kazi za gereji na changamoto za hapa na pale, nikapata GPA ya 2.8 katika Department ya uhasibu Ila lengo mama nataka nipate degree naombeni mawazo...
Wakuu habari za wakati huu,
Moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu. Naomba mnisaidie details za undani juu ya degree hii.
1. Inahusiana na nini?
2. Field zake zikoje?
3. Idara ambayo inahitaji...
Habari zenu wataalam, nlikuwa napitia past papers za mitihani ya taifa ya kidato cha pili nkaona pepa ya Physics 2017 na 2019 zinafanana, yaan ni km 2017 ilitolewa tu copy na kutolewa 2019.
Sasa...
Habari wadau...
Siyo mara ya kwanza wala haitashangaza mtu kutumia baadhi ya herufi (letters/ the alphabet) kuwakilisha namba mfano,
I=
II=2
III=3
IV=4
V=5
VI=6
VII=7
VIII=8
IX=9... NK
Pia...
Habari wadau.
Sote tunajua katika somo linaloleta homa kulifanya na kulifaulu na ukakasi kulipenda na hata ukilipenda halichelewi kukufanya X wake basi ni somo la hesabu au masomo yenye hesabu...
Habari ndugu,
Naitwa Hamduni Dauda Ibrahimu, Napenda kuomba nafasi ya kazi katika nyanja ya ualimu kwa masomo ya PHYSICS na CHEMISTRY.
nipo mkoani Kagera ila niko tayari kufanya kazi mahala...
habarini wana JF, napenda kuwakaribisha wadau waliosoma Makongo high school enzi hizo tukumbushane mambo mbalimbali ambayo kwa namna flani yalikufanya kutosahau maisha ya pale, mimi mpaka kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.