Habari za wakati huu wanajamvi natumai mungu ni mkuu na mweza wa yote nimekuja mbele yenu nikiwa na hoja ifuatayo kwanza kwa majina naitwa Derick Deo nimemaliza masomo ya kidato cha sita ila kwa...
Tuna wahitimu kila mwaka kutoka kwenye vyuo vikuu i.e. UDSM, SUA, UDOM, DIT, AIT,
Hata kwenye project zao hakuna wanachovumbua hata concept tu
Duuh!!
Au wanaenda kukariri na kujibu mitihani...
Jamani, Mimi ni Mwl wa Level ya Degree, nina diploma ya Elimu pia kwani nilijiendeleza baada ya kumaliza diploma ya Ualimu, Kwa sasa nina Digrii ya Ualimu katika Elimu ya Awali, Kwa kweli huku...
Basi la Taqwa lililopata ajali maeneo ya Lusaunga Biharamulo na kusababisha watu 18 kupoteza maisha, lilikuwa na jumla ya wanafunzi 10 wanaosoma Masters ya modeling udsm idara ya hesabu, kati yao...
Wataalam tafadhari, saidieni hapo mdogo wangu amehitimu Diploma ya Medical Laboratory kule Ruaha, sasa je nimpeleke Degree au !!/maana yeye anasema haina utofauti sana labda asome degree ya kitu...
Shirika lisilo la kiselikali la Tanzania Deaf Skills Foundation TDSF, Kwa kushirikiana na Chuo cha ufundi stadi cha Moravian Kyela, wanatarajia kutoa mafunzo ya ufundi kwa viziwi kwa kutumia lugha...
Habari wakuu,
Ipo hivi tangu nipo nasoma shule Sekondary hadi namaliza chuo hadi ivi sasa nipo mtaani ninapotaka kusoma kwa ajili ya maandalizi either ya interview au issue nyingine yenye kuleta...
Wakuu habari ya muda huu,
Kuna hii Course ya Laboratory Science and Technology inayotolewa na vyuo vya ualimu kama Monduli teachers college, Kleruu pamoja na Tabora teachers college.
Je...
Habari wakuu?
Kati ya kozi ya Bachelor degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and maintanance Engineering
Hizo kozi naombeni ushauri zinatolewa...
baada ya kukosa chuo round ya kwanza hadi ya tatu hatimaye nmepata katika round ya nne kwa kozi ya Bachelor of education in early childhood lakini siamini kama inafursa ya ajira kama ilivyo kwenye...
Habari Wanabodi,
Naomba ushauri, kuna mdogo wangu yeye ni Mwalimu wa Sekondari alimaliza Chuo Kikuu SAUT mwaka 2014 na kuajiriwa Serikalini mwaka uliofuata 2015, alichukua Education Masomo ni...
1. Masters of Education Management and Administration (MEMA)
2. Masters of Arts in Education.
Naomba anayezifahamu vizuri hizi kozi anisadie. Ipi ni kozi bora zaidi kati ya hizi.
Sent using...
Najua huu ni muda wa neema kwetu mi niko na ki-internet cafe changu,
muda huu napiga pesa kwa kuwatumia madogo vyet vya kuzaliwa na kifo RITA kwa wanaojiandaa na masomo ya elimu ya juu pamoja na...
Habari za leo wakuu,
Ni imani yangu kuwa mko wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku, niende kwenye mada nina kijana wangu wangu amemaliza HGE kidato cha sita na alikuwa anatamani...
Some Qualifications have no use anymore, they do not impact the society in any positive way. The Outbreak of the Coronavirus is a reminder that there are some university qualifications that are...
Nilikuwa naomba mnijuze kuhusu Join Instruction za Kozi za Afya kwa Vyuo vya Serikari, je vipi zimetoka au bado kwa anayejua naomba anijuze maan na dogo langu amechaguliwa Chuo cha Afya Kibaha...
Habari wanaJF,
Kwa wale walio soma UDSM, karibu na Utawala kuna mti mkubwa ambapo watu husoma. Mara kwa mara watu hujaa pale na ni nadra kupata nafasi, sasa mtwa nauliza ni kwanini mti ule...
Napenda kutanguliza salamu kwa wanajukwaa,
Kuna ndugu yangu amemaliza mwaka huu kidato cha sita ni msichana alisoma HGK, amenifata na kuomba ushauri ni kozi gani ambayo atleast itamfaa hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.