Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani, naomba kuuliza ivi kati ya Accounting and Finance na Microfince Management kwa soko la sasa ipi the best?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hellow JF. Natumai tu wazima wote. Naombeni msaada was mawazo kwa shule nzuri ya primary na nursery School. Maeneo ya Mbezi Beach, Mikocheni au Goba. Nitashukuru kwa msaada.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani niko nahakiki cheti RITA, kilichonikwamisha ni uandikaji wa namba za simu kama taarifa za awali. Wanataka namba ya simu iwekwe kwa format ganii? Maana nimeanza na +255 xxx xxx xxx...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mbona wengine wanasoma kwa furaha zote kwanini hii hali inikute mimi tu nina nini? Nilianza masomo ya kidato cha tano na cha sita kwa usajili wa private candidate nikaacha nikaona nisije...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama wewe ulishapitia misukosuko na ikapelekea kukata tamaa lakini ulipambana na ukafanikisha malengo yako, naomba uniPM ili tubadilishane mawazo. Karibuni
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
kwa wanaohitaji kujiunga na vyuo..kwa waliosoma Science inabidi kuwa makini Sana'a...baada ya TCU kushusha..vigezo vya GP na point...wengi watakimbiliaa kuomba u doctor na pharmacy matokeo yakee...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba ushauri juu ya soko (kwa upande wa ajira) mimi nasoma Bachelor of Computer Engineering, MUST, siko interested sana na coding. Nafkiria kuspecialize na Network & System Administration...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa wale mnaohusika na kuwaombea mkopo wanafunzi napenda kuuliza kwa mtu alie maliza chuo mwaka 2018 na hajafanikiwa kuchukua cheti kutokana na hali ngumu ya kimaisha anaruhusiwa kuomba mkopo kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Naomba kufahamu kutoka kwa wale waliowahi kusoma masters UDSM, SUA, MU, UDOM, EASTC na kwingineko hapa Bongo. Mfano, kozi ya masters ikiwa ni miaka miwili, na prospectus...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Leo tuzungumze kidogo juu ya maombi. Je huwa unaomba? maombi yako yanajibiwa? Kama hayajibiwi umeacha kuomba? Kama unaendelea kuomba umetafuta kwanza kujua sababu za kutojibiwa maombi yako au...
2 Reactions
1 Replies
5K Views
Hello jf. nina imani humu kuna wadau wanasoma au waliwahi kusoma clearing and forwading. naomba msaada wa notes nina shida nazo hasa za First year. Natanguliza shukran
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba msaada kwa mtu anayejua kwa hapa Tanzania ni Chuo kipi kinaendesha kozi tajwa hapo juu, yaani "conflict Resolution /Management " anijuze. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu,wasalaam nawasilimu wote kwa pamoja,walimu,wajuzi na wanafunzi wenzangu, Jamani mimi nilisoma secondary na kuitimu 2010,niliferi kuingia kidato cha tano kwa kupata division four na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Naomba mwenye uelewa na hii course anielezee kwenye changamoto ya ajira na nitafanya kazi gani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Error 404 [Post Deleted]
0 Reactions
21 Replies
3K Views
HEALTH INFORMATION SCIENCE (HIS) STARTED 2017 UNDER NACTE -MINISTRY OF HEALTH HEALTH INFORMATION SCIENCE Health information science is a hybrid curriculum that encompasses multidiscipline...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Muhitimu wa Diploma in Records Management Chuo cha Utumishi wa Umma ana GPA nzuri na anataka kujua kozi bora atakazoweza kufit kulingana na Diploma yake kwenye ngazi ya Bachelor Ukitoa kozi za VETA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba kufahamishwa kwa undani kuhusu hiyo fakati: 1. Ajira zake zinapatikana? (ikiwezekana na mifano) 2. Inahusika na nini? Unaajiriwa kwenye Sekta gani? Ni hayo tu 3. Vyuo gani bora...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom