Hamjambo wanabodi,
Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kutakuwa na maadamano ya amani dhidi ya bodi ya mkopo nchini (HESLB), maandamano haya yataanza siku ya jumatatu tarehe 27/07/2020 na...
Wadau nimeona hii degree ya secretarial studies and public administration inatolewa na chuo cha utumishi wa uma Dar(TPSC), naomba mwenye uzoefu wa hii taaluma anipe majukumu ya kila siku ya mtu...
Habarini za wakati huu wananzingo
Nimekuja kwenu kwa lengo la kutaka kupata uzoefu na kuongeza ujuzi zaidi katika kozi nikiyoitaja. Ombi langu kwenu ni kama yupo mtu anaeweza kunisaidia katika...
Habari naomba msaada wa hili.
Mimi nilichaguliwa chuo mwaka jana lakini sikufanikiwa kujiunga kwa mwaka wa masomo 2019/20 kutokana na matatizo na Mkopo nilifanikiwa kupata nikaenda chuo...
....ndizo zilizofanya vibaya sana kwenye mitihani ya kitaifa; je zina matatizo gani ambayo yanahitaji kushughulikiwa mara moja? Mheshimiwa Mkono alijitolea sana kujenga shule hizo wakati akiwa...
Nawasalimu nyote ndugu zangu,
Mimi ni kijana umri miaka kati ya 28. Ni kijana niliyetaman sana elimu kwa bahati mbaya sana cjafanikiw kutimiza malengo/ndoto zangu kielimu. Ndugu zangu...
Wasalam wajumbe,
Ningependa kujua ni jinsi gani mfumo wa kuSign fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu unafanya kazi.
Iko hivi: A/C number yangu ya bank imekosewa na HESLB. Kila...
Wakuu, naomba msaada kupata shule ya wasichana ya Bweni ya bei kawaida Advance, itakua nzuri ikipatikana kanda ya ziwa au sehemu nyingine Tanzania.
Iko hivi, mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa...
Wakuu,
Mimi nina diploma ya Civil Engineering sasa katika kuchagua vyuo hili chaguo niliweka la mwisho kabisa maana nilikuwa na idea nayo kidogo ila sikuwa interested nayo sana, sasa yamenikuta...
Jaman naomba kufahamishwa kwa undani kuhusu hiyo fakati,
1.ajira zake zinapatikana?(ikiwezekana na mifano)
2.inahusika na nini?(unaajiriwa kwenye secta gani? Ni hayo tu wadau.
Wakuu habari zenu,naombeni msaada kati ya course mbili hapo juu ipi unafikiri ni nzuri na ungependa kumshauri mtu asome..naomba mtu anayezijua vizuri hizo course anichambulie katika maeneo...
habari za muda wana jf,
naomba kwa wataalamu au wanaofahamu au ambao wameshafanyaga application kwa mfano NTA LEVEL 4 nlipata GPA 3.0 LEVEL 5 GPA 3.0 na LEVEL 6 GPA 3.6 je udaili wa kusoma...
Naomba kufahamu iwapo kuna mtu alikuwa anasoma chuo kipo A lakini kutokana na changamoto hakuweza kumalizia kutokana na majukumu. Siwezi kuwa naendelea na Masomo katika chuo hicho nataka nikahamie...
Habari za muda huu Wana JF. Nilikuwa naulizia utaratibu kwa mtu anayefahamu kuhusu kumuhamisha mtoto wa secondary form one kutoka shule moja kwenda nyingine na ni mkoa tofauti.
Namuhamisha kutoka...
Wadau Salamu!
Kwa wale msiojua kumeibuka tabia ya ushoga hapa Makongo Sekondari (hasa wanafunzi tunaoishi bwenini/hostel).
Patron ndio kinara wa kamchezo haka maana ana mtu wake humu bwenini...
Ningependa kuanza na pongezi; mana si kazi nyepesi, kuna wengi waliojaribu kufika mlipo ila imeshindikana. Basi; hapa sina mengi tuu bali mambo makuu 3 ya kuzingatia wakati muwapo chuoni...
Habari wanajamvi,
Je, mnufaika wa mkopo katika mwaka uliopita na akadisco chuo, anawezaje kupata mkopo tena iwapo yupo kwenye chuo kingine kwa sasa?
Kwa anayefahamu asaidie kushare tafadhali.
Naomba kujua wakubwa, kama baba yako mlemavu kwenye muongozo wa HESLB wameandika wanaoruhusiwa kuthibitisha ni Mganga Mkuu wa Mkoa na Wilaya au chombo kingine chochote kilichohidhinishwa...
Wakuu katika kusoma kwangu guidebook ya TCU nimeiona kozi tajwa hapo juu katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Mwenye taarifa zaid juu ya hii kozi anisaidie labda kuhusu ajira zake au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.