Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau nimeanza mchakato wa kuomba phd hapo IRA-UDSM.Najua kuna changamoto zifuatazo hivyo naomba mnipe namna yankukabiliana nazo; 1.Udhamini angalau kwenye utafiti tu. 2.Muda wa...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
habarini wana jamvi mdogo wangu anaufaulu wa Chemistry {c} Biology{C} na geography{C} je kozi ipi ya afya anaweza kusomea katika kada ya afya kwa level ya certificate. na ajira yake ikoje?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani tu wape watoto wetu,marafiki zetu,wadogo zetu, mawaidha ya mwisho kabla hawaja enda shule kesho Wasije kupotea nakusahau kilicho wa peleka kule
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wale waliosoma masomo ya biashara: - what is retail; - what is wholesale; - Importance of retail and wholesale; Ninaomba kunisaidia yafuatayo pia: - Types of retail 1. - tinerant retailers ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari za mchana, Ninaomba kujua shule za private ambazo zinafaulisha vizuri lakini ada yake isizidi 1.2M coz nina mtoto wa kaka yangu alipata Div 3 ya 24 ana C- Hist, C- Geog, C- Kiswahili...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Chuo Kikuu cha Mt. Augustino Tanzania (SAUT), Mwanza kimewafuta kazi wahadhiri watatu kwa makosa ya kujihusisha na rushwa ya ngono na wanafunzi kwa nia ya kuwapa upendeleo kwenye mitihani. Chuo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za jioni Anayakifahamu chuo cha Muhimbili Univesity Health and Allied Science naomba anipe maelezo ya ada zao zipoje. Nataka kuapply kozi ya CLINICAL MEDICINE kwa cheti cha kidato cha nne...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari, Naomba msaa wa kujuzwa ilipo Shule Makongoro Secondary school najua ipo mkoa wa mara lakini sijui Wilaya gani? Na nafikaje? Natanguliza Shukrani sana.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
These are additional solved problems (attachment below) intended to be incorporated in the document whose link appears below. Enjoy your reading Undregraduate soil mechanics solved problems-download
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Katika kuangalia NACTE Admission Guide 2020/2021 ya June 15, 2020 nimegundua vyuo vingi vimefuta utunukiwaji wa Technicians Certificate na badala yake wanadahili waombaji kwa program za Ordinary...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Ninataka kuhama chuo nikimaliza certificate (nipo certificate Diploma nataka niende chuo kingine) course ya accountancy chuo cha government. Je, hii inawezekana na kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
“Natumai watoto wa sehemu maskini pia wawe na fursa ya kujiunga na vyuo vikuu bora” Alichosema hayo ni Zhang Guimei mwenye umri wa miaka 63. Yeye ni mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya juu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inaonekana kozi zingine bado dirisha kufunguliwa ukiacha za afya, je kozi zingine lini dirisha litafunguliwa? Tangazo lao linasoma hivi: Welcome to Student's Admission Verification System for...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau habari ya jioni, Naombaaa kuuliza ofisi za kanda za nacte Mbeya ziko karibu na taasisi gani, kwa mfano shule. Maana mi mgeni kidogo hapa Mbeya ila kuna Uzi nilisoma humu nikaambiwa maeneo...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF, Nilikuwa naomba ushauri/msaada kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhilibwa masomo kwa ngazi ya Diploma kwa wale wasioweza kumudu ada. Mimi ni kijana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya, Wakuu kozi za veta na ada zake, hizo hapo chini, tujadiliane hot cake course[emoji116] Hiyo Aluminum ipoje? Na soko lake vipi NB: mimi ni mdau wa elimu. Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
28K Views
Nilikuwa nauliza kama mtu ana transcript tu cheti hajachukua anaweza ku-apply mkopo na chuo akachaguliwa na mkopo akapewa na vipi akifika chuo alichochaguliwa hawatamuuliza cheti.
0 Reactions
3 Replies
876 Views
Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
wana jf kwa yeyote anaifaham kimamba sec iliyopo morogoro, mimi nimechaguliwa katika shule iyo
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Ndugu wana jf kuna ndugu yetu amehitimu kidato cha nne mwaka Jana alipata DIV III 25 katika masomo tisa ana C Tatu ambazo hizina combination yaani KISWAHILI CHEMISTRY NA ENGLISH ana D tano na F...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom