Kwa mdau yeyote anayejua Chuo hiki kina sifa zipi anisaidie kujua.
Nimepata habari kutoka kwa muhitimu wa chuo hicho ila amezungumza mengi yakiwa hasi,niliona huenda labda yeye ndiye alikuwa na...
Ndugu zangu nisaidie mtoto wa Sista amepata four ya 28 amesoma sayansi ni msichana ana d zaidi ya 4 na C moja ya kiswahili. Miongoni mwa D hizo zipo za Chem na Bios.
Je anaweza kusoma fani gani...
Kwa wale ambao wamesoma michepuo inayojumuisha hisabati (Advanced Mathematics) majina ya jamaa hawa si mageni katika uwanja huo.
Swali ni je nani kati ya hao wawili hapo juu yupo bora zaidi kwa...
Naamini mambo ni powa, samahani kwa yeyote anayejua ambapo duka la vitabu vya kujisaidia katika nyanja zote za maisha,namaanisha zile self help books, kwa MTU anaejua maduka au maktaba zinazitoa...
Mimi mwaka 2018 nilimaliza Kidato cha Sita na kuchaguliwa Mwenge University lakini sikuipenda kozi hivyo nilihairisha masomo na mkopo pia nilisitisha. Nliambiwa mwaka 2019 ningepewa mkopo kwa...
Habari, Kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji wote tuliopitia TARIME SEC tukumbushane maisha ya pale, either ulipitia O level au hata A level.
Karibuni.
habari
ndg
naomba kupewa msaada apa wakuu naitaji kwenda kusoma form v nimepata Hst c geo d math c engl b kiswahil b civics c biology d nilikua nadhani kuwa HGE iko sawa ila nikaona niwasilishe...
Habari wana jamii,
mimi ni nina elimu ya kidato cha nne ya 2009, lakini mpaka sasa sijachukua cheti changu, nawezaje kukipata kwa urahisi?
Je, nikienda shule niliyosomea nitakipata?
Kwa muda mrefu sana wanafunzi wanaosoma University of Dar es salaam (UDSM) wamekuwa wakiona chuo chao ni kama TOP in TZ.
Lakini mimi naomba tuangazie anga za uhandisi hasa hasa pekee, je UDSM wapo...
Kumekuwa na kasi ya ongezeko la uanzishwaji wa kozi mbalimbali katika vyuo vyetu Tanzania bila kuangalia ubora wa elimu kwa wanafunzi wanaomaliza (graduates) katika fani hizo, kuweza kushindana...
Habari za majukumu wakuu?
Kama mada inavyojieleza, naomba kujulishwa jinsi ya kuomba nafasi ya masomo Chuo cha Patandi ktk kozi ya elimu maalum pia kama kuna link naomba mnisaidie. Na Kama kuna...
Habari wana jukwaa,
Nikiwa Kama senior member humu, ninaleta mbinu za kuhama shule au chuo ulichochaguliwa
Baada ya Tamisemi Ku allocate Majina ya vijana waliomaliza form 4 mwaka Jana 2019...
Habarini wana jukwaa wenzangu. Naomba mwenye uelewa kuhusu kozi ya enviromental Health Science anisaidie kunifaamishe kwenye kipengele cha ajira kama kozi ina soko au laa.
Pia, jinsi ya...
I loose hope and sometime I give up but I m so bright in the class but now I see like things are so difficult to me. I' m studying at college I m second year. Next year I m going to complete my...
Kwa wale wahitimu wa kidato cha nne wanaotamani kujiunga na fani mbalimbali za afya hii inaweza ikawa msaada kwao
Disclaimer:Nimezisort fani hizi kwa "utashi wangu" wa jinsi ninavyoona demand ya...
Salute wakuu!!
Jifunze haya toka kwa Jack Ma: Bilionea aliyekataliwa mara nyingi zaidi
KARIBU
Tujifunze kutoka kwa ‘Ma Yun’ maarufu kwenye ulimwengu wa biashara ya mtandao kama Jack Ma...
Heshima kwenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa Taifa Letu.
Well, nina wadogo zangu wawili wamemaliza form four wamechaguliwa kuingia Chuo wakiwa na ufaulu wa Division III hili...
Habar wadau wa JamiiForums,
Naomba kujua kama unaweza ukasoma Course ya Computer Science kwa ngazi ya Stashahada (Diploma) kwa kupitia online na ukaiva?
Naomba kuwasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.