Hakuna atakayebisha kwamba elimu tunayopata ina kasoro,tena kasoro kubwa.Wengi wetu tumekuwa tunajiuliza kwa nini mambo yako hivi yalivyo, bila majibu.Sisi tunaishia kutumia inventions za wengine...
Hello jf jitahidini kuwapa ndugu zenu au mtu yeyote. Hii fursa ni nzuri sana...ni kama ajira ya moja kwa moja. Israel wako vizuri sana katika kilimo. Nitafurahi kama kati yetu humu jamvini atapata...
Habari wadau,
Nina degree ya Economics nataka kusoma Masters ninazo kozi mbili naomba mnishauri ipi ina soko mtaani kati ya Msc Finance and Investment toka IFM na Msc in Economics from Open...
Mahitaji Muhimu:
1. Hakikisha mwanao amekamilisha mchango wa chakula kwa mhula wa Kwanza. Hatutatoa nafasi ya hosteli kwa yeyote mwenye madeni ya nyuma ya chakula kwani hatuna chakula kabisa.
2...
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) SELEMANI JAFO amesema jumla ya wanafunzi elfu 73,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2020 na kutakiwa...
Kuna mahali nilikaa tukabishana hawa wasomi wawili professor na Dr ni yupi msomi zaidi na ni yupi mtaalamu zaidi na yupi senior zaidi?
Nimeuliza hivyo maana nimeshamuona professor mwenye master...
Habari wakuu.
Mimi ni kijana mwenye ambition kubwa ya kuja kuwa nahodha wa meli, nimejaribu pia kufuatilia njia gani nifanye ili niweze timiza ndoto zangu, kwa kuwasiliana na Chuo cha Bahari...
Jana jioni nilikuwa natokea maeneo ya Changanyikeni. Changanyikeni ni eneo lililokaribu kabisa na Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Nilikutana na kundi kubwa la wanafunzi wakitembea kwa mguu na...
A man came home from work late, tired and irritated, to find his 5-year old son waiting for him at the door.
SON: 'Daddy, may I ask you a question?'
DAD: 'Yeah sure, what it is?' replied the...
Poleni na majukumu wakuu,kama title ya thread ilivyo naomba kuuliza hii kozi ya environmental engineering inahitaji requirements gani ili uweze kuisomea ?
Kwa waliosoma Mzumbe na SUA miaka ya nyuma watakuwa wanamjua huyu jamaa chek-bob.
Wajihi wake
Mrefu
Mweupe
Bichwa kubwa Sana lenye kipara
Miwani juu ya kichwa
Jinsi muda wote
Makalio makubwa...
Wana JamiiForums,
Nitumie dakika chache kuwaombeni ushauri kama kichwa kinavyosema. Nimepata baadhi ya kozi zinazotolewa na vyuo vya VETA (Vocational Education and Training Authority) hapa...
Hiv mwenye iii ya 25 kwa alama civ D,hist C,kisw C,geo D,Engli C,bio D,Math D anaweza kwenda kidato cha tano shule ya serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hellow Wana jamii,
naomba MSAADA kwa mtu yeyote yule ambaye anaweza fahamu kuhusu majibu ya application nimeapply chuo Cha TIA (Tanzania institute of accountancy) kwa ngazi ya cheti sijajua...
Habari wanaJF,
Kama kichwa kinavyojieleza
Swali: Barua isiyokua na nambari ya Kumbukumbu Namba ni sawa na ujumbe uliopotelewa njia. Jadili kauli hii kwa hoja madhubuti.
Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.