Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Alifanya mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2018 akapata Division 4 yaani D zote. Sasa akarisiti matokeo yamekuja kapata F zote. Je, wakuu anaweza kutumia cheti chake cha kwanza kwenda chuo? Maoni...
0 Reactions
4 Replies
928 Views
Soko la ajira limekaaje kwa sasa kwa hizi kozi za Public Admnistration and Human Resource Management. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kufahamu Kizumbi campus kipo mkoa/wilaya/gani? Pia naomba kufahamu Human Resource Management ni masomo yanayohusiana na nini? Mimi darasa la Saba la mkoloni, Kuna mdogo wa rafiki yangu...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari, Baada ya salam niende kwenye hoja iliyonileta.. Ninae anko angu hawa waliomaliza Form Four juzi kachaguliwa pale IAA kwa mwaka wa masomo 2020/2021. Sasa nina maswali mawili nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua mwanafunzi akichaguliwa direct kwenda Chuo badala ya form 5 je gharama za Ada zinalipwa na serekali wenyew aw mzazi ndio anapaswa kulipiaaa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi, Poleni na majukumu. Naomba ufafanuzi kuhusu hii course ya International Relation and Diplomacy. Watu wanaosomea hii course huwa wanakuja kufanya kazi gani na wanafanya kazi wapi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
WanaJF naomba mwenye ufahamu juu ya hili anifahamishe. Nimeambiwa kwamba pale Lugalo JWTZ camp DSM kuna chuo cha uuguzi, swali langu ni kweli hicho kipo? Pia je hicho chuo kina-train clinical...
0 Reactions
10 Replies
33K Views
Wakuu habari nina mdogo wangu alimaliza form four Mwaka 2012 alipata ufaulu wa four ya 28. History C Geography D English D Kiswahili D Civics D Biology D B/mathematics F Sasa anahitaji akasome...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali imetoa leo orodha rasmi ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano pamoja na Shule walizopangiwa. Kutokana na wengi kuulizia mazingira ya shule walizopangiwa na kuanzisha...
5 Reactions
651 Replies
132K Views
Samahani jamani kuna ndugu ang, kafelishwa na mwalimu fulani, alikuwa anasoma clinical medicine, ndo kwanza alikuwa semister ya kwanza, je anaruhusiwa kuomba tena?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wapendwa poleni na majukum ya kazi. Leo nimeona tujadili kitu kimoja hivi mtu anakuwa nalengo ya kuwa daktari au mhandisi au hata hakimu ila kwa bahati mbaya unafeli mtihani wa kidato cha...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Wadau,ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu soko la ajira kati ya fields hizo mbili za engineering.Ipi ni marketable kwa sasa?
0 Reactions
49 Replies
10K Views
Angalia hapa 👇👇 http://tamisemi.go.tz/announcement/waliochaguliwa-kujiunga Wasichana wote waliofaulu kidato cha Nne kujiunga kidato cha Tano,Vyuo vya Ufundi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
1 Reactions
11 Replies
11K Views
Wapndwa naomba msaada kwa yeyote aliyeko chuo kama anaweza kunisaidia kunichekia timetable ya sup kwa somo la EC.116 inafanyika lini. Plz naombeni msaada.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kati ya: 1. ARU (Bachelor Science in Accounting and Finance) 2. UDOM (B. Com Accounting) 3. Mzumbe (BAF) 4. TIA (BAF in Public Sector) 5. UDSM (B. Com Accounting) 6. University of Iringa (BAF) In...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu wana JamiiForums. Naomba kutambua vyuo vinavyotoa (kufundisha) kozi zifuatazo kwa mkoa wa Dar es Salaam. 1. Basic or Technician Certificate in Office Assistance. 2. Basic or...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo nacte wametoa tangazo la ku confirm kwa wanafunzi waliochaguliwa vyuo. Sasa nmeona ada wameandika 900000 kwa chuo cha M.U.S.T na 850000 kwa chuo cha ARUSHA TECHNICAL COLLEGE wakati hao...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau naomba mnisaidie, Kuna dogo Tunataka afanye applications Kati ya Nursing, Pharmacy Au Clinical officer, Je Mda wa kufanya app ushafika? Au jee kuna vyuo vimefungua maombi vyenyewe? Chuo...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Back
Top Bottom