Wana JF,
Hivi anayefanya mtihani kwa usaili wa kujitegemea (private candidate) na usaili wa shule (School candidate, kuna tofauti gani kubwa hasa? School Candidate anafaidika nini ambacho private...
Kutokana na Shughuli zangu za kubangaiza kwenda kombo, huenda nitashindwa kuendelea kumlipia gharama za Chuo Kijana wangu (me) anayechukuwa Diploma ili aweze kuchukua Digrii, naomba msaada...
Tukumbushane kama wewe ulisoma bweni miaka ya 90 hadi 2000.
Shule zilikuwa na burudani sana na kitabu pia kilipigwa hasa. Ila uzi huu ni maalumu kukumbushana burudani za mziki na hata mpira...
Wengi tunatambua kuwa kwa sasa Dunia inapitia kipindi kigumu sana kutokana na hili janga la Corona virus. Hii kitu imegusa sehemu nyingi sana.
Naomba niweke wazo langu huenda likasaidia wachache...
Pamoja na kwamba watu wengi wanatumia internet kwa kusoma vitabu na hadith mbalimbali maarufu licha ya hayo kitabu kinabaki kuwa kitabu. Sisi wote kwa namna moja au nyingine tunasoma vitabu...
Mtandao wa wanafunzi Tanzania – TSNP unapenda kutoa maoni juu ya jitihada mbalimbali zinazofanyika ili kuendeleza masomo katika kipindi hiki cha dharura ya ugonjwa wa CORONA:
Kwanza: Kuhusu...
Ninaposema maandamano na migomo ni haki yetu wala tusiiogope.
Uthibitisho utaupata hata kwa hawa watoto wa mafisadi uvccm wanaposhindwa kuwashawishi baba zao ili wapate haki zao na kuamua...
Kama kichwa cha habari je nikifungua current account CRDB nikiweka hela kwa faida inakuwa vipi naomba msaada wa rates na niweke kuanzia shillingi ngapi?
Bank zingine ruksa kuchangia kwa upande...
Habari za muda huu wakuu, hivi kwa mtu anayesoma bachelor of arts in history (UDSM), kwa level ya masters anaweza kuchukua kitu gani? Au lazima aendelee na hiyo ya histoy..
Sent using Jamii...
Habari wana JF.
Leo nilikuwa kwenye daladala asubuhi nikasikia mama mmoja analalamika kuwa mwanae amesajiliwa kama private candidate kwenye mtihani wa form six. Sababu anasema kuwa mwanaye...
Kwa sasa nipo semista ya mwisho nasoma Procurement amd Logistics chuo cha Muslim University of Morogoro. Ningependa kufahamu ni vyuo gani bora naweza kusoma kozi yangu hii na nikaiva vizuri...
Hello,
Mimi ni kijana mwenye umri 26. Muhitimu wa shahada ya ualimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2016.
Nategemea kujiunga mwaka huu shahada ya pili ya development studies sasa wakuu naomba...
Wanajamvi habarini za mihangaiko?
Najuwa wengi wenu mko vizuri mkiendelea kumuomba mungu na kuchukua tahadhari zote za gonwa hili la Covid 19, tuayaache hayo kwa muda ambapo janga hili...
Wasomi nchini mnatuangusha na tafiti zenu za kuunga-unga. Mtu unasoma journal article full inconsistencies na methodologies zinazotumika huko full wenge (very weak) ukilinganisha na tafiti za...
Poleni na majukumu wadau naomba kufahamu namna ya kupata vitabu vya History, Geography, Mathematics, Chemistry na Biology kidato cha pili softcopy. [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using...
The age of Janet was three-quaters that of Monica four years ago. If the sum of their present ages is 50. How old is Monica now? (naombeni msaada)
Ikiwezekana onesha hatua zote. au fanyia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.